zip ya suruali ikinasa kwenye ngozi ya mdudu utaitoaje?

Halafu zipu yenyewe iwe ya jeans... Utalia kikwenu bila kutarajia !
Hii ni sawasawa na n'ge apandepande hadi ikulu halafu akun'gate... Weee lazma utapiga
' lwaangi ' !

eeh mkuu. iwe ile ya chuma. yaani ni balaaa. Mia
 
kwanza lazima ubinuke ghafla alafu ufumbe macho kwa maumivu huku umeishika zipu kwa adabu!! Laiti ukipigwa picha utakuwa kama avatar ya mtu flani hapa JF!!
 
kwanza lazima ubinuke ghafla alafu ufumbe macho kwa maumivu huku umeishika zipu kwa adabu!! Laiti ukipigwa picha utakuwa kama avatar ya mtu flani hapa JF!!

hahahaaa!!. halafu unakuwa kama umegandishwa vile. unatulia tuli. Mia
 
Back
Top Bottom