Zinaa imekithiri, magonjwa yameongezeka sana

candlelight96

Member
Sep 20, 2021
38
78
Jaman wazee wa JF,

Nyie wapenda zinaa kila kona hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins wanataka sifa...mara nakula mke wa mtu, mara mke wa kaka, mara shemej, jirani...

Sasa endeleeni kula ni fashion sasa ila mtambue mpo kwenye mtandao mkubwa wa HIV yaan ulomla kaliwa na aliomla kala pengine na mwingne anakula pia wote mnaenda na maji ...kutuliza gololi zenu hamuwez nyie wanaume,..picha ndo kama hilo mkapime huenda ni wafu mlio hai

FB_IMG_1636665134574.jpg
 
Jaman wazee wa jf , nyie wapenda zinaa kila kona jf hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins wanataka sifa ..mara nakula mke wa mtu , mara mke wa kaka, mara shemej, jiran, ..sasa endeleeni kula ni fashion sasa ila mtambue mpo kwenye mtandao mkubwa wa HIV yaan ulomla kaliwa na aliomla kala pengine na mwingne anakula pia wote mnaenda na maji ...kutuliza gololi zenu hamuwez nyie wanaume,..picha ndo kama hilo mkapime huenda ni wafu mlio haiView attachment 2007446
Wewe umeshakanyagwa na wangapi hapa JF? Wote wameshaunganishwa kwenye gridi ya taifa kama matokeo ya vipimo vyako yanavyoonyesha?

Kwa vile tendo hili huhusisha jinsia zote mbili, sijaona mantiki yako ya kulaumu upande mmoja tu labda kama hoja yako kuu ni kuwaonya vit*mbi wa humu kuwa wawe makini kwa sababu huko wanakokwenda kuchovya hakuko salama kivile kama wanavyodhani...
 
Ushaelewa ndyo hvyo wanaume wa jf n kujisifia na zinaa kwan huon ...lakin wanawake sikut uzi wao wakusema wamepigwa mashine kule mara huku..wanaume wanapost had za 'kula tunda kimasihara" yote huon wao ndo walengwa
 
Jaman wazee wa jf , nyie wapenda zinaa kila kona jf hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins wanataka sifa ..mara nakula mke wa mtu , mara mke wa kaka, mara shemej, jiran, ..sasa endeleeni kula ni fashion sasa ila mtambue mpo kwenye mtandao mkubwa wa HIV yaan ulomla kaliwa na aliomla kala pengine na mwingne anakula pia wote mnaenda na maji ...kutuliza gololi zenu hamuwez nyie wanaume,..picha ndo kama hilo mkapime huenda ni wafu mlio haiView attachment 2007446
Sasa hivyo vipimo ndio vimekutoa macho, mpaka ukaandika maneno mengi na usingizi wako umeukatiza?? Lala mama, dunia sio makazi yetu..mbona inajulikana.
 
Mm wala sina papara sabab najijua ni ASEXUAL...so kaz kwenu nyie wapenda sex ...mkapime
 
Jaman wazee wa jf , nyie wapenda zinaa kila kona jf hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins wanataka sifa ..mara nakula mke wa mtu , mara mke wa kaka, mara shemej, jiran, ..sasa endeleeni kula ni fashion sasa ila mtambue mpo kwenye mtandao mkubwa wa HIV yaan ulomla kaliwa na aliomla kala pengine na mwingne anakula pia wote mnaenda na maji ...kutuliza gololi zenu hamuwez nyie wanaume,..picha ndo kama hilo mkapime huenda ni wafu mlio haiView attachment 2007446
Umekosea sana kwenye picha
 
Kuna Jambo na Vijambo.
Mtoa mada ulitaka kutufahamisha nini na hizi kiti za damu ?
 
Dhumuni LA Mada yako ni zuri.

UKIMWI UPO NA UNAUA.

sasa nirejee kwa Picha ulotumia kusindikizia ujumbe.

Hiyo meza nzuri ya kioo ni ya Lab au kwako?

Je hizo used kits, umeondoka nazo kazini kuja kwako upige picha???..why usipigie kazin tu???

Uko mkoa gani?? Kiasi upate wateja 20 + kwa siku moja ...inamaana tuseme ulipo,, kila SIKU lazima mpate wateja + kuanzia 10 ....( hii sio inshu sana maana kwa mikoanya shinyanga ,iringa, mbeya yote naukanda wake )kawaida.

Hizo used kits kama ni za Hosp, kwann zilizo + , umezipangilia kuanzia 1---20... Inamaana walikuja wateja 20 WA kwanza nawote walikua +?? Kwamba btn 1---20 hamna Neg??? Kwamba zilizofuatia yaan 21 22 n.k, hapa kua na + , au ndo zilikua -.

Hapa napata hoja mbili..

Je ,,wee nimtenda kazi wa Hosp X, vipimo unavyo, umebeba Damu +, ukaja kuitest ili Isome, kisha upige picha ulete humu??????.

Au Vipimo unavyo, na Umetumia Damu yako wewe Mwenyewe ???.kisha umepiga picha.

ALL IN ALL, UKIMWI UPO.
Mdau hii ni kawaida sana siku hizi aidha iwe ni maadili au nje na maadili. Sehemu nyingi wagonjwa au wateja wa vipimo vya damu wakishachukuliwa damu jamaa wa huduma ya afya wanajiongeza kuzipima hata HIV pasipo wateja kujua, utaletewa majibu ya malaria etc huku washabaki na sample au majibu kukuhusu wewe habari ya ngoma.
Vipimo visivyo shirikishi na visivyo husishi na visivyo hiari na blind testing.
Be warned jali afya yako. Kupata data za maambukizi kwa hiari na shirikishi haileti mutikio, data za kutosha hivyo hii mbinu ya kujiongeza ina matunda sana.

Kwamba inafaa na ni haki haihusu muhimu jichunge na jihadhari daima.

Matabibu kujeni hapa wajameni.
 
Jaman wazee wa jf , nyie wapenda zinaa kila kona jf hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins wanataka sifa ..mara nakula mke wa mtu , mara mke wa kaka, mara shemej, jiran, ..sasa endeleeni kula ni fashion sasa ila mtambue mpo kwenye mtandao mkubwa wa HIV yaan ulomla kaliwa na aliomla kala pengine na mwingne anakula pia wote mnaenda na maji ...kutuliza gololi zenu hamuwez nyie wanaume,..picha ndo kama hilo mkapime huenda ni wafu mlio haiView attachment 2007446
Wote wewe usiekula mbususu hautokufa sio mfu hai eti ....
 
Back
Top Bottom