sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
06.05.2012 ni siku ngumu sana kusahaulika miongoni mwa mashabiki na wanachama wa Simba SC.
Kwangu mimi hii kumbukumbu imejenga makazi ya kudumu kichwani mwangu.
Kwanini?
1. Mnyama alimkung'unta bila huruma Mtani 5-0, wafungaji wakiwa ni 0kwi magoli 2, Felix Sunzu, Juma Kaseja na Patrick Mafisango (marehemu).
2. Mnyama alikabidhiwa ndoo ya ubingwa wa ligi kwa mara ya 24, mbele ya refa wao, kocha wao, mashabiki wao pia uwanja wao.
Tujikumbushe Mapicha Picha ya siku hiyo;
Kikosi cha Mnyama ambacho kilipeleka vilio, simanzi na majonzi mitaa ya Jangwani.
Kikosi cha Yanga kilichofungwa 5-0.. Hilo pozi..
'CR7 wa Uganda' siku hiyo alimgeuza huyu beki bora kabisa toka 'mtaa wa pili' uchochoro.
Mashabiki wa Mnyama wakimuuliza 'Mtani'.. "Huko kwenu vipi??"
'Mtani' anajifanya hajasikia swali.. Naona akaamua kutupa mgongo kabisa.
Mpaka 'refa wao' anamaliza mpira, matokeo yalikua ni 5-0.. Kilichofata baada ya hapo
Ombi langu kwa Mtani;
Kwa dozi mliyoandaliwa kupewa 01.10.2016, tafadhari msije Taifa ili muweze kuepusha aibu kama mliyopata 06.05.2012... Mkikaidi shauri yenu.
SIMBA SPORTS CLUB, NGUVU MOJA