Zilizokuwa kauli za mzazi wenu zinadhihirika

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Wakati wa uongozi wake Julias Kambarage aliwahi kutoa nasaha nyingi, miongoni mwa hizo nasaha kama vile kuwambia watu wake msije mkafanya makosa na kumpa urais John M.

Na miongoni mwa sababu alizozitoa alisema kuwa ni
MUHUNI jingine kubwa zaidi alikuwa anapiga kelele siku zote Kiongozi ung'atuke mapema na usisubiri kung'atuliwa.

Mzee John akalichukulia ni mzaha hilo , sasa ndio ukweli umedhiri wafuwasi wake wameshachoka nae palipobaki watalazimishwa kuwa nae. kwa maana hiyo Mzee John ni Mbunge wao wakitaka wasitake ,tusiandikie mate na wino ungalipo ,nitarudi kulikumbusha hili (nakubaliana na Mkuu wapolisi pamoja na Pinda Mafisadi wanauwezo wa kuitikisa Serekali na wameweza kulionesha hilo )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom