Zilizofeli jf jokes/utani!!!!!!!

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
Nahisi tatizo kubwa ni lugha iliyotumiwa,ila hizi zimefeli........tujipange ..
1;Balaa balaaa by Smile
2;paka amekufa by willbert1974
3;misemo ya hatari by mwakibinga.jr
4;petro kalete jiwe by nelly nely
5;man and police in dar by piper
6;maswali mengine by amiride
7;talaka katikati ya fungate by bazazi
8;polisi,crazy!kreizi! by nonda!

Ni mtazamo tu...........,ka zimechuniwa hivi!!!!!!!!!!!!!!
 
Nahisi tatizo kubwa ni lugha iliyotumiwa,ila hizi zimefeli........tujipange ..
1;Balaa balaaa by Smile
2;paka amekufa by willbert1974
3;misemo ya hatari by mwakibinga.jr
4;petro kalete jiwe by nelly nely
5;man and police in dar by piper
6;maswali mengine by amiride
7;talaka katikati ya fungate by bazazi
8;polisi,crazy!kreizi! by nonda!

Ni mtazamo tu...........,ka zimechuniwa hivi!!!!!!!!!!!!!!
nelly nely, ni mtazamo wako tu kama unavyosema lakini sidhani kama ulitumia vigezo vya kuridhisha. Mimi nakumbuka nilichangia thread No.1 ya Smile, No 2, 5, na 7. Labda uondoe hizi kwenye orodha yako ya thread zilizochuniwa! Wala hazikuwa na lugha ya kusumbua au mbaya.......... sijui unamaanisha nini unaposema hapo juu:'Nahisi tatizo kubwa ni lugha iliyotumiwa'
 
Wakuu,pengine haikuwa mahala pake...mana haichekesh kiukweli na ckudhamiria ichekeshe,mniwie radhi nilowakera kwa hili.......Msimbazi daima!!
 
Back
Top Bottom