Zilizofeli jf jokes/utani!!!!!!!

Anachosema mtoa mada ni kwamba hazikuchangiwa SANA, sio kwamba hazikuchangiwa kabisa, ingawa ukiangalia tendency ya watu waliozipitia ni kubwa,...ndio kuna sehemu hapa unaweza kuona thread imesomwa na watu wangapi.
nelly nely, ni mtazamo wako tu kama unavyosema lakini sidhani kama ulitumia vigezo vya kuridhisha. Mimi nakumbuka nilichangia thread No.1 ya Smile, No 2, 5, na 7. Labda uondoe hizi kwenye orodha yako ya thread zilizochuniwa! Wala hazikuwa na lugha ya kusumbua au mbaya.......... sijui unamaanisha nini unaposema hapo juu:'Nahisi tatizo kubwa ni lugha iliyotumiwa'
 
Anachosema mtoa mada ni kwamba hazikuchangiwa SANA, sio kwamba hazikuchangiwa kabisa, ingawa ukiangalia tendency ya watu waliozipitia ni kubwa,...ndio kuna sehemu hapa unaweza kuona thread imesomwa na watu wangapi.

asante kwa kunielewa ARV!!!
 
Back
Top Bottom