Zilipendwa

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
Huko zilipendwa ya JF kuna vibao moto moto vya kutoka Tanzania na nchi mbali mbali duniani. Yaani unapata you 'daily dose ya JF'...:) na wakati huo huo unaburudika kwa vibao moto moto. Wacha tuwe addicted na JF...:) Naburudika na kibao All we need in Africa kilichopangwa vizuri sana na mwimbaji toka SA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom