KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,591
- 8,632
F-35 ni mradi wa nchi mbalimbali zilizoshirikiana kuitengeneza hii ndege ndo maana ukiachana na Israeli, Japan pia atauziwa hizi ndege, Wingereza, Australia, Canada pia alikua na mpango kuzinunua ila wameahirisha na kuamua kununua E(F)-18 zilizoboreshwa zaidi..
Je hii ni ndege bora kwa uhalisia kabla hujajibu hili swali jiulize kwa nini Amerika hawaiuzi F-22 na B-2 kwa nchi washirika pamoja na uwezo wake mkubwa kwenye uwanja wa mapambano na kupendwa na kuvutiwa na mataifa mengi washirika wa Amerika! F-35 ni ya kisasa kwa maana tu ya kua imetengenezwa hivi karibuni lakini kwa vigezo vya ubora vitani hii ndege haina uwezo.. Wabunifu wa SU T-50 PAK FA wanasema, ndege kua tu stealth haitaweza kuisaidia mbeleni wakati huu ambao radar pia zinaboreshwa hivyo kua stealth lazima kuendane na mambo mengine kama manuvability, kua na radar za masafa marefu na kuwa na siraha ambazo ni beyond visual range(BVR)...
Kitendo cha kuweka pratiforms nyingi katka frame moja kwa F-35 kuna ifanya ndege kua nzito sana hivo haiwezi kumanuver na kitendo cha ndege kua na low manuvability maana yake haiwez dog fighting, na kitendo cha kushindwa dog fighting maana yake haiwezi kua airsuperiority fighter(haiwezi kulitawala anga) na kitendo cha kushindwa kulitawala anga maana yake hata ndege ya kizazi cha kati ya nne kwenda tano (4++) kama SU-35 au Euro fighter typhoon, Jas Grippen au J-17 ikiwekewa mafuta ya kutosha kukaa angani mda mrefu ikailia timing inaweza kui ambush F-35 na ikaiangaza.. mfano kwa vigezo vyote ilivyonavyo SU-35 kuanzia uwezo wa kubeba mafuta mengi, kubeba siraha ambazo ni beyond visual range, spidi kali, highly manuvable na kua na radar ya masafa marefu na ambayo inadetect target zote mbele na nyuma ya ndege, kwa kweli kana itatokea battle ya hizi ndege mbili angani (one to one) trust me F-35 analiwa asubuhi kabisa..
kumbuka hii ni SU-35 ndege ya kizazi cha nne(++) vip kama itakumbana na T-50 PAK FA ndege ya kizazi cha tano ambayo licha ya kua super stealth pia ina vigezo vingne vyote air superior fighter inavyopaswa kua navyo kama kupiga pugachev cobra manuver, spid kali, powerful engines, radar kali na za masafa marefu, uwezo wa kuharibu mawasiliano ya adui nk....
Kwa kweli kama utanambia nichague kati ya F-35 na F-22 ntachagua F-22 na nadhan huo pia ndo mtazamo wa jeshi la Amerika ndo maana F-22 hawajamuuzia yeyote hata Israeli...