Iran kubabidhiwa ndege za kivita hatari Su-35 kutoka Urusi

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,906
Kwa sasa hizi ndo ndege hatari zaidi duniani zinalinganishwa na F-35 za Marekani lakini ni zaidi ya F-35

IRAN YAMALIZA TARATIBU ZOTE ZA MANUNUZI YA NDEGE ZA KIVITA ZA URUSI Su-35.
Bado haijatajwa idadi ya ndege hizo hazijatajwa kuwa ni ngapi.

RUSSIAN Su-35 AND Su-57 TO BE PRODUCED IN IRAN.

Urusi na Iran pia ziko kwenye mazungumzo ya utengenezwaji wa drones za kivita za Iran kutengenezwa nchini Urusi huku ndege za kivita za Su-35 pamoja na Su-57 kutengenezwa nchini Iran.

Iran na Urusi zimekuwa zina ushirikiano wa karibu na ukizaji wa uchumi kati ya nchi mbili hizo zilizowekewa rundo la vikwazo.

Iran has completed the deal with Russia on the purchase of new SU-35 fighter jets.

Within the next 2-3 weeks the aircraft’s will be delivered.

Source: Militarycognizance.com

1678560533266.jpg
 
Attachments

  • 1678560508685.jpg
    1678560508685.jpg
    23.4 KB · Views: 13
Wee jamaa muongo saana..sijui unatoaga wapi taarifa zako..su 57 mpaka sasa zimeundwa 21 tu (10 test,11 serial)..hazijawa approved hyo technology kupelekwa popote na haiwezi kuuzwa kwa sasa
 
Watatumia Anga la nchi gani kushambuliana?
kwani wanapoingia Iran na kutekeleza majukumu yao kwa spidi kali wanatumia anga la nani maana Israel haitakubali kabisa ndio maana anavilenga vinu vya nyuklia anahisi Iran ni tishio kwa usalama na ustawi wa Taifa la Israeli
 
akifanya urusi hivyo utawaona wamarekani weusi
 
Sio mshabiki wa vita maana vita haina outright winner,ila hizi ndege za kirusi sio tishio kabisa kwa Israel na elewa kuna waisrael wengi wenye uasili wa Russia ambao ndio wataalamu, na hawa definitely wanaipa nchi yao ya asili(israel)technology, elewa ile Radar ya Egypt kutoka Russia iliyong'olewa na special force ya israel pale sinai, na pia kwenye jet fighter's kinacho matter zaidi ni utaalaam wa pilot's wake,kumbuka mig21 na F5 zetu zilizima jeshi la anga la Uganda ambao walikua na mig 23(more advanced Than mig 21),tufanye kazi tuache kushabikia vita au mashindano ya silaha
 
Kuna Pro US wa Nanjilinji ameahirisha ghafla kukata gogo akiifuatilia hii habari
 
Sio mshabiki wa vita maana vita haina outright winner,ila hizi ndege za kirusi sio tishio kabisa kwa Israel na elewa kuna waisrael wengi wenye uasili wa Russia ambao ndio wataalamu, na hawa definitely wanaipa nchi yao ya asili(israel)technology, elewa ile Radar ya Egypt kutoka Russia iliyong'olewa na special force ya israel pale sinai, na pia kwenye jet fighter's kinacho matter zaidi ni utaalaam wa pilot's wake,kumbuka mig21 na F5 zetu zilizima jeshi la anga la Uganda ambao walikua na mig 23(more advanced Than mig 21),tufanye kazi tuache kushabikia vita au mashindano ya silaha
Unajifariji tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom