Zijue sehemu Hatari kwenye Mtandao/Internet

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Huu ni wakati wa uchaguzi kuna blogu nyingi zinazoripoti na kutoa habari zingine za uchaguzi wetu ndani ya nchi na nje watu wamejiunga kwenye blogu hizi , majukwaa na hata wengine kufuatilia watu mbalimbali kwa njia mtandao kama twitter , buzz na huduma zingine nyingi ili kupata habari mbalimbali .

Mimi ni kati ya watu wanaopenda kufuatilia habari na matukio mbalimbali kutumia mitandao jamii haswa ile inayotoa habari fupi fupi kadri ya safari au kitu kinavyoendelea kama twitter au Buzz ya google na mengine mingi lakini iliyowazi zaidi ni twitter .

Kwa siku za karibuni twitter imekuwa na shida kidogo kwa sababu baadhi ya wanachama wake wanaweka viunganishi ( Links ) fupi kwenda tovuti na mitandao mengine ambayo ina virus au ina programu na vitu vingine vinavyoweza kuharibu komputa yako pindi utakapokuwa kwenye kurasa za tovuti hizo , viunganishi hivyo ni kama Bit.ly na TinyURL Ingawa hii tiny ina sehemu ya preview ambayo unaweza kuona kitu kabla hujaamua kugonga na kutembelea .

Hilo tishio la kwanza sio la kupuuzia kabisa kwa sababu katika tafiti za karibuni imeonyesha aina hizo mbili zinafaa katika matangazo na huduma zingine za kufupisha jina la tovuti na anuani kwahiyo mtu ni rahisi kuingia bila kutafakari ingawa sio lazima tovuti zote ziwe na madhara .

Kwa sasa programu nyingi za masuala ya ulinzi na usalama wa komputa kama antivirus na internet security hazina updates za kuweza kuzuia mashambulizi kwa njia ya URL kama hiyo bali zitaweza kuzuia au kuonya tu pale unapotaka kudownload au kuinstall kitu hicho ingawa ni mara chache nyingi zina ji install zenyewe .

Kuna wale ndugu na rafiki zangu wanaopenda kushusha ( download ) muziki na video kwa njia mbalimbali haswa torrents , kwa sasa wahalifu wengi wanaficha virus na programu zingine ndani ya video hizo , mp3 hizo na program mbalimbali pindi unapoweka kwenye komputa au kuhamisha madhara yataanza kuonekana hapo hapo au pindi unapozima na kuwasha komputa hiyo au vifaa vingine kama simu na vifaa vingine kuna watu wengi sana simu zao na vifaa vyao vingine vimeharibika au kupata madhara makubwa kutokana na mashambulizi haya .

Mambo mengi hapo yanaweza kukikinga kwa asilimia Fulani sio 100 endapo utatumia antivirus na program zingine za usalama wa komputa yako na vifaa vyako kama simu na pia ukiwa unafuata sheria na taratibu za matumizi yake vizuri .

Usisahau kufanya upates kwenye programu za komputa na vifaa vyako vingine unavyochomeka kwa ajili ya kuhamisha data au kusoma komputa yako watu wengi hawafanyi hivi badala yake yanapotokea mashambulizi inakuwa na adhari kubwa sana kwao .

Mwisho usipende kufuatilia anuani za twitter , buzz na blogu ambazo huzijui vizuri mara nyingi unaweza kutumiwa linki mbaya nawe ukatembelea link au tovuti hiyo kwa kuiamini na hata kudownload program na mengine .

Hayo ni mambo machache unayopaswa kuyajua Jioni ya leo mengine tutaendelea kufahamishana jinsi siku zinavyokwenda na jinsi tunavyoweza kupata updates za haraka haraka hayo mawili nimeona yanasumbua sana watu kwa siku za karibuni kwahiyo ni vizuri kupeana taarifa ili kuweza kujikinga na uharibifu unaoweza kutokea .

YONA FARES MARO
www.ictpub.blogspot.com
 
Asante kwa maelezo mazuri.
 
asante kwa ushauri wako kak umetusaidia sana haijalishi umekopi wapi....
 
Back
Top Bottom