Zijue Amri 10 za Dr. Slaa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusiana na Dr. Slaa:
  1. Mcha Mungu.
  2. Anayewajali na kuwastahi watu.
  3. Anapenda haki na kuwajali wanyonge.
  4. Mkweli wa maneno na matendo.
  5. Ana uwezo wa kuongoza na upeo mpana.
  6. Anapenda amani na utulivu.
  7. Ni muadilifu.
  8. Analipenda taifa lake.
  9. Sio fisadi.
  10. Ndani ya miaka 10 kawaletea maendeleo jimboni kwake.
 
Yule aliyesema Mkuu wa mkoa Shinyanga amekufa ni nani? Je kweli amekufa?

Mlio Tanzania mtujuze
 
4.doubt ilikuaje awe padri hapo hapo akapata watoto wawili ni bi mkubwa mheshimiwa?
 
7. Ni muadilifu.

KAIBA MKE WA MTU :caked:

Aliyeibiwa mke ni wewe au ni yule alikwenda mahakamani na mpaka leo hii hiyo kesi imeishia wapi? mwenye mke atoke hadharani tena uchaguzi umeisha! unajingine?
 
Aliyeibiwa mke ni wewe au ni yule alikwenda mahakamani na mpaka leo hii hiyo kesi imeishia wapi? mwenye mke atoke hadharani tena uchaguzi umeisha! unajingine?

ALIAPA KUWA MTUMISHI WA KIROHO AKAACHIA NJIANI, SASA TWAOGOPA AKIAPA KUWA RAIS ATATUACHA KWENYE MATAA!!!!:caked:
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusiana na Dr. Slaa:
  1. Mcha Mungu.
  2. Anayewajali na kuwastahi watu.
  3. Anapenda haki na kuwajali wanyonge.
  4. Mkweli wa maneno na matendo.
  5. Ana uwezo wa kuongoza na upeo mpana.
  6. Anapenda amani na utulivu.
  7. Ni muadilifu.
  8. Analipenda taifa lake.
  9. Sio fisadi.
  10. Ndani ya miaka 10 kawaletea maendeleo jimboni kwake.

nahisi ulikuwa huna kazi ya kufanya.!
 
4.doubt ilikuaje awe padri hapo hapo akapata watoto wawili ni bi mkubwa mheshimiwa?

Ali-resign upadre kwa kufuata tartibu zote. So baada ya kutoka kwenye upadri ulitaka akuzalishe wewe maana naona kama unatamani hilo...
 
Pro Chadema wengi humu JF wamejaa upofu mpaka ufisadi wa chama chao wameufunika na blanketi jeusi, mimi naelezea sifa moja tu ya 7. jinsi Dk Slaa anavyotafuna kodi zetu Watanzania kupitia ruzuku wanayopata, mshahara wa Dk Slaa kwa mwezi 7000,000 kwa mwezi, kwa mwaka anakusanya 84,000,000, ndio Katibu mkuu wa chama cha siasa analipwa pesa nyingi kuliko wote Tanzania kwenye historia ya nchi yetu aijawahi kutokea, posho ya maandamano. kila maandamano posho 600,000, wastani wa maandamano kila mwezi kwa mwaka 7,200,000 jumla kwa mwaka Dk Slaa anakusanya shilingi milioni 91,200,000, huu ni ufisadi mkubwa anafanya Dk Slaa lakini kama wewe ni Pro Chadema JF uwezi kuliona
 
  1. Ndani ya miaka 10 kawaletea maendeleo jimboni kwake.

Ni miaka 15 na sio 10. Karatu ni zaidi ya halmashauri nyingi sana hapa nchini! Umeme kila kijiji, maji sio tatizo. Shule za msingi na sekondari kila kata. Sio rahisi kuamini maana ni halmashauri mpya kutoka halmashauri ya Mbulu!
 
Pro Chadema wengi humu JF wamejaa upofu mpaka ufisadi wa chama chao wameufunika na blanketi jeusi, mimi naelezea sifa moja tu ya 7. jinsi Dk Slaa anavyotafuna kodi zetu Watanzania kupitia ruzuku wanayopata, mshahara wa Dk Slaa kwa mwezi 7000,000 kwa mwezi, kwa mwaka anakusanya 84,000,000, ndio Katibu mkuu wa chama cha siasa analipwa pesa nyingi kuliko wote Tanzania kwenye historia ya nchi yetu aijawahi kutokea, posho ya maandamano. kila maandamano posho 600,000, wastani wa maandamano kila mwezi kwa mwaka 7,200,000 jumla kwa mwaka Dk Slaa anakusanya shilingi milioni 91,200,000, huu ni ufisadi mkubwa anafanya Dk Slaa lakini kama wewe ni Pro Chadema JF uwezi kuliona

Analipwa ghali na anafanya kazi nzuri. Hakuna katibu mkuu wa chama chochnte cha siasa humu nchini anayefanya kazi kubwa ya kukijenga chama chake kama yeye. Kwa vile na wewe ni pro ccm, huwezi kuona!
 
Analipwa ghali na anafanya kazi nzuri. Hakuna katibu mkuu wa chama chochnte cha siasa humu nchini anayefanya kazi kubwa ya kukijenga chama chake kama yeye. Kwa vile na wewe ni pro ccm, huwezi kuona!

Nyie wana CDM kwa nini hamna uchungu na matumizi mabaya ya ruzuku kwa kupitia kivuli maandamano endelevu!!! Mapesa mnayotumia kwa maandamano endelevu pasipo kujali kipindi cha mvua, jua ama kusababisha wananchi wasitishe shughuli za kilimo. Ni aibu kutokemea style ya uongozi wenu ambayo inatafuna mapesa ya walipa kodi pasipo tija. Hizo hela za ruzuku mngetumia kufungua ofisi huko vijijini ingeleta tija. Hapa DSM, ofisini zenu za wilayani wala hazina hadhi mfano ofisi ya wilaya TMK ipo sambamba na Kisuma bar tena ndani ya eneo la chama fulani. Kwa hilo nakipongeza chama fulani kwa kutoa hifadhi ingawa CDM kila siku kusema vibaya dhidi ya chama fulani
 
Yule aliyesema Mkuu wa mkoa Shinyanga amekufa ni nani? Je kweli amekufa?

Mlio Tanzania mtujuze
Nifahamuvyo hakusema amekufa. Isipokuwa aliwaambia waliokuwa wakimsikiliza kwamba amepata msg ya simu ambayo hamfahamu mtumaji ikimfahamisha kwamba Mkuu wa Mkoa ule ambao yeye alikuwa akifanya shughuli zake alikuwa kafariki. Aliwaomba wasikilizaji wake wasimame kwa heshima ya Mkuu huyo kama ni kweli angekuwa amekufa kama msg ilivyonadi. Baadae iligundulika kwamba msg ile ilikuwa ni kazi ya TISS ili watu wamwone si makini, lakini kwa wengi tunaoifahamu CCM na uhuni wake wakikachero hatukuona tatizo lolote pale kwani ange-Ignore ile msg na kama ingekuwa ni kweli amefariki angelaumiwa kwa kuonyesha dharau na kutokujali. Hayo ndiyo mambo ya TISS ambayo imesahau kabisa kushughulikia Usalama wa Taifa na wanahangaikia usalama wa Chama cha Magamba na makuwadi wao! Tena kwa gharama ya kodi tunazolipa. Ikumbukwe pia kwamba asasi hii hii ilwahi kuumbuliwa ilipotega vinasa sauti vyumbani mwa wabunge wa upinzani katika bunge lililopita! Shame on them, History will judge those ******.
 
tunachohitaji ni maendeleo na mabadiliko ya watz yeye katka ratiba yake ya kipindi hiki alisema atazungukia maeneo yote ya tanzania sasa anatekeleza alioyasema mnalalamika je nyinyi magamba mpaka sasa mshafanya lipi? kati ya yale mlioojinadi nayo?
Ni hayo tu kwa sasa...
Mungu ibariki Tanzania..
 
Back
Top Bottom