Zijue Alama za barabarani pamoja na matumizi yake

Swali la kwanza mara nyingi utumika pale panapokuwa na matengenezo kwenye barabara.kuna mtu uwa anashika bango la GOupande mmoja na STOP upande wa pili.
Swali la pili sijajua ni mita ngapi nimesahau ila unatakuwa uache umbali wa kutosha.
Swali la tatu MISTARI YA NJANO.pembeni ya barabara inaonyesha mwisho wa mapana ya barabara.
MSTARI MWEUPE WA KATI ULIONYOOKA.unamkataza dereva kulipita gari la mbele yake.
MSTARI MWEUPE WA KATI ULIOACHANA ACHANA humruhusu dereva kulipita gari la mbele yake.
Ni hivyo.kama haujaelewa au kuna mapungufu WATAKUJA WENGINE KUSAHIHISHA.
Unatakiwa uwe na stopping distance ya 8sec kati yako na dereva wa mbele yako......sjui kwa tz but international laws ( 8 sec following distnce)
Dhaaa!! Nomaa aiseee
 
Ahsante sana kwa kutukumbusha. Kuna siku nimesimamishwa na trafiki akanikagua kama nazijua alama za barabarani. Alamnusura ile kwangu.

Sent from my SM-T705 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana kwa kutukumbusha. Kuna siku nimesimamishwa na trafiki akanikagua kama nazijua alama za barabarani. Alamnusura ile kwangu.

Sent from my SM-T705 using JamiiForums mobile app
Jitahidi uzijue.uzuri wa zile alama.ni kwamba sio lazma uzihifadhi.ila ukiiona tu.unajua imemaanisha nini.na ukijua alama za barabarani.utaendesha gari kwa amani kabisa.na hata ukiona ajali unamjua nani mwenye makosa.unabaki unacheka tu na kushangaa.maana madereva wengi na bodaboda hawazijui.na hata watembea kwa miguu pia.
 
03294141044a845440b6e21164e4fc67.jpg
7cdf61bb603bcce608b100c8f899132c.jpg
 
Back
Top Bottom