ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,313
- 4,048
Jamani hilo neno Tanzania kwenye nguo ya huyo mama mbona sioni?Naona neno Mwanza tu ambalo ni moja ya mji katika nchi ya Malawi.
ni katika hiyo waliyokumbatiana,chini ya neno "mwanza",herufi zinazooneka kwa uhakika zaidi ni "NIA"Jamani hilo neno Tanzania kwenye nguo ya huyo mama mbona sioni?Naona neno Mwanza tu ambalo ni moja ya mji katika nchi ya Malawi.
viti vya "gold" kama vile vya Gaddafi,lakini kanchi kadogo na pia masikini,it doesn't reflect the real people down there...Mama atasingizia alivikuta ikulu!lol!sijawahi kufurahishwa na "vitu vizuri" vya viongozi wa nchi masikini kama yetu,never!hata kama vikiwa ni vya gharama kuliko vya Bill Gates ama Warren Buffet.
Nyasa Times August 6, 2012
U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton on Sunday visited Malawi to meet with the countrys first woman President Mrs Joyce Banda.
Clinton the first U.S. secretary of state to visit Malawi -pledged continued U.S. support for development and health projects in the impoverished southern African country.
This a pictorial focus of the meeting between two women of substance- Clinton and Joyce Banda. Photos taken by Lissa Vintulaof Malawi News Agency.
U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton, left, meets with Malawi's President Joyce Banda at the State House in Lilongwe. This is the first visit to Malawi by any U.S. Secretary of State
VIP hug: Clinton and Joyce Banda
This is a Reuters picture capturing Clinton smiling 18 inches at State House
Pengine Joyce Banda ni Mama na Rais mwenye mapenzi na Tanzania, ukichunguza maneno yaliyoko kwenye nguo yake maridadi aliyovaa (angalia picha ya mkumbatio), kwenye mkono pameandikwa Mwanza, halafu chini yake kidogo neno ambalo nadhani ni Tanzania linaonekana kwa sehemu tu. Au ni style ya kuiambia jumuiya ya kimataifa kupitia kwa kiongozi wa Taifa kubwa, kwamba hana problem na jirani. Ama kweli picha maneno elfu!
Kweli kuna maneno mwanza na tanzania kwenye vazi la huyu mama, hili halina ubishi. twende mbele tuangalie na vazi la huyo ads/tuseme ni mlinzi wake ni camouflage combat cloth kwenye shughuli ambayo ni ceremonial by nature. sasa tujiulize tunapata ujumbe gani tukiunganisha vazi la mama na la huyo mwanajeshi mlinzi wake? na kwa kuongezea rangi ya vazi lenyewe la huyu rais ni muhimu sana tusiipuuze kabisa.
Ana maanisha mwanza ni sehem ya malawi muda wowote akitaka anaichukua.
Tutaelewa tu, japo walimu wengine kufundisha kwenu kwa kejeli. Kwa wenye mtazamo chanya, tunaona kwamba kinachojadiliwa ni fursa ya kulifahamu vizuri taifa hili la majirani zetu. Sidhani hata wewe 'mwalimu mkali' unafahamu kila kitu kuhusu Malawi.
viti vya "gold" kama vile vya Gaddafi,lakini kanchi kadogo na pia masikini,it doesn't reflect the real people down there...Mama atasingizia alivikuta ikulu!lol!sijawahi kufurahishwa na "vitu vizuri" vya viongozi wa nchi masikini kama yetu,never!hata kama vikiwa ni vya gharama kuliko vya Bill Gates ama Warren Buffet.
Mkuu Kobello halafu angalia ufupi na maumbile madogo!! hivi hawana standards kwenye ajira!! kama TZ!! kweli wasituchokozeWanajeshi wao kumbe ni wanywa chibuku tu, hebu waangalie. Halafu wana radio.... outdated.
Nyie si mnajisifu mna gesi ya kumwaga na hamtafanya makosa ya kuingia mikataba fake kama madini, wamerikani sasa wanachonganisha ili muingie vitani wawakung'utishe hela zenu za gesi kwa njia ya kuwauzia silaha zilizopitwa na wakati
Hakuna neno Tanzania kwenye hiyo nguo. Neno linalosomeka clearly ni Mwanza ambayo ni districk huko Malawi. Kwa mbele kuna Blantyre na miji mingine.
Huyo mama haipendi Tanzania na anafuata mlengo wa Banda wa kwanza wa kukumbatia makaburu.