Ukitaka amini hilo subiri waugue au wafe ndo utajua mengiSio kweli
Sup🤣🤣SUA wamekufanya nini mkuu mpaka uwafanye mfano?.
Kweli ana maisha safi lakini sio sawa na ya professor wa chuoZembwela darasa la 4 tu Ila maisha safi
Nilidhan ungeweka assets za Professor na Bank statement yake ya miezi 6 iliyopitaKweli ana maisha safi lakini sio sawa na ya professor wa chuo
Ukiwa mtoto wa mjini mwenye midomo ya bata na ujanja wa kujichomeka bila aibu utaishi vizuri sana, watanzania tunaishi kwa viwango vya chini sana yaani hivi sasa CCM ni sawa na kasha tupu, hakuna viongozi wanaoijua siasa kama wale wa zamani, kila mmoja yuko kivyakevyake.Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Hii imeendaMtoa mada ukikutana na mgawaji maisha mazuri na akataka akukate kimba nadhani hautokuwa na muda wa kufikiri marambili mbili.
Duniani kote ipo hivyo kama alivyo mvuta bangi jayz ana hela kuliko msomi obama na kadhalika mungu humpa atakaye na kumnyima atakaye hapangiwiPamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Mkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhaniaWape heshima yao, siyo rahisi kuwa prof, pia nadhani ifike muda ujue tofauti ya maisha mazuri na maisha ya anasa. Yawezekana mtu wa kijijini aliye na na 1500 kwenye m-pesa akawa na maisha bora kuliko mtu wa mjini mwenye 15m kwa m-pesa. Yawezekana mimi hapa nikawa na maisha bora yenye amani kuliko diamond mwenye millions kwa account. Amani, uhuru na hakika(ieleweke) ni bora kuliko hofu na hakika na hakika ya kununua chochote.
Sasa mkuu, unatoa ujumbe gani?Mkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhania
Manara kila mwezi kuna bayport , tigo na utitiri mwingine huko gsm na kadhalika kote huko hela inaingia nyumba anakaa apartment ya usd 3000 per month hiyo ni 8m embu nionyeshe prof yoyote anayeishi karibia tu na maisha hayo
Sikatai, ila kucredit mtu kulingana na kipato tu si sawa, tutambue umuhimu wa msomi. Na pili, ubora wa maisha si kipato tuMkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhania
Manara kila mwezi kuna bayport , tigo na utitiri mwingine huko gsm na kadhalika kote huko hela inaingia nyumba anakaa apartment ya usd 3000 per month hiyo ni 8m embu nionyeshe prof yoyote anayeishi karibia tu na maisha hayo
UKiwa masikini unaweza usielewe nani wanaopanga apartments mjini ila ukifikia level hizo ni kitu cha kawaida utakuta analipiwa na gsm sasa hapo hasira za nini? Wakati maprofesa wapo kota za udsm ndio utofauti hapo ulipoSasa mkuu, unatoa ujumbe gani?
Kapanga nyumba ya M.8 kwa mwezi? Japo figure haina ukweli ila pia sasa hii ni akili au matope?
Next offeredSUA wamekufanya nini mkuu mpaka uwafanye mfano?.
Sidhanii kama una uhakika na usemacho, lakini duniani kote vipaji vina lipa zaidi Rihanna si msomi lakini ana fedha kuliko prof pale Cambridge marehemu bwana hawking, maisha ya celebrities wa bongo ni uongo, wakiumwa ndo tunaelewa ayo maisha uliyosema mtu akiumwa aende Apollo india tunchangishwa insta amna uhalisia hapa.Mkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhania
Manara kila mwezi kuna bayport , tigo na utitiri mwingine huko gsm na kadhalika kote huko hela inaingia nyumba anakaa apartment ya usd 3000 per month hiyo ni 8m embu nionyeshe prof yoyote anayeishi karibia tu na maisha hayo
NI kweli maisha ya celibrities yana fake nyingi ila kuna wachache wana endorsements na vipato vikubwa sana kuliko kawaida the likes of ommy dimpoz, manara , diamond konde boy etc hao kina gigy money hawapo kwenye kundi hiloSidhanii kama una uhakika na usemacho, lakini duniani kote vipaji vina lipa zaidi Rihanna si msomi lakini ana fedha kuliko prof pale Cambridge marehemu bwana hawking, maisha ya celebrities wa bongo ni uongo, wakiumwa ndo tunaelewa ayo maisha uliyosema mtu akiumwa aende Apollo india tunchangishwa insta amna uhalisia hapa.