Ze my English is sweat

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,915
[h=5]Nimekuwa nazunguka sehemu nyingi hapa Dar kupata vituko, lakini kwa kweli hizi sehemu wanazokwenda enjoy wale wanaojiona wako juu kuna vituko vikali sana, kwa kawaida huwa nakaa pembeni na Fanta yangu nasikiliza vituko, sasa kuna hawa wakaka na wadada ambao hutaka kuongea Kiingereza tu kusudi kuonekana wao wako kidijitali zaidi, yaani we acha tu. Ukitaka upate utamu huu live nenda kwenye bar zote karibu na vyuo hasa baada ya wanachuo kupata mshiko wao, wenyewe wanauita BOOM, nenda club za Masaki, nenda Samaki samaki na sehemu kama hizo, utasikia kiingereza kifuatacho;
i. Where did u went?
ii. I come to your office yesterday but I didn't find u.
iii. Where is the second leg of my shoe?
iv. I enjoyed the movie, it is very interested
v. God bless you with a children
vi. "She dided it"
vii. I will better kill myself than commit suicide.
viii. Can you hear the smell?
ix. Arsenal and Man U are the greater rivalry in England.
x. I was come
xi. We are mucher than them
xii. Remember me to give you your money tomorrow
xiii. This film is very sweet

Guys if this is how you people speak English, include me out.
[/h]
 
Nimepata kuambiwa juu ya hadithi ya manamba waliokuwa wanakata mkonge na mmoja wao kuliwa na mamba. Sasa Mkoloni akawataka kujieleza kimombo vinginevyo adhabu kubwa itawaangukia. Ndipo mmoja akajitia nguvu, "Kalumwene yule sir, to cutting the grass. Licrocrodile limamba likaja, likampengenyua two pieces"!
 
Kantai is a masai boy.
Kentai can tie and untie a tie. If Kentai can tie and untie a tie, why can't I tie a tie and untie a tie like Kentai?

Mkuu Bujibuji mambo vipi? Unafahamu mahali wanapouza pilipili kichaa? Nahitaji kama kilo 20.
 
Last edited by a moderator:
English is a mishmash of a hodgepodge of a potpourri of largely Indo-European languages. A less logical lingua franca to someone who is used to the more elegant syntax of Swahili. Anyone who is remotely familiar with the works of George Bernard Shaw would know that. Couple that with the prevalence of Swahili, no wonder the difficulty.

Having said that, tertiary level students are expected to be conversant in English. Or at least be smart enough not to embarass themselves liberally all up in the spot.
 
Arushaone nina shamba, ninauza mbichi na kavu, nikuletee zipi?
Kantai is a masai boy.
Kentai can tie and untie a tie. If Kentai can tie and untie a tie, why can't I tie a tie and untie a tie like Kentai?

Mkuu Bujibuji mambo vipi? Unafahamu mahali wanapouza pilipili kichaa? Nahitaji kama kilo 20.
 
Last edited by a moderator:
Malkia (the kwini ) teach'nt english.......aren't she.....good in Kirkgate market.......?
 
Bujibuji siku moja nilikufuma unamuelezea mzungu ugumu wa kupanda mlima kilimanjaro,
"SIR TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB,
BECOZ IS NOT A SNAKE ONE BY ONE"
 
Last edited by a moderator:
sikipendi basi tu acheni tuchapie Bujibuji hebu tembelea na sehemu za wazungu ambao wanachapia kiswahili utumwagi hapa.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaa, tuna kazi wabongo! ..Hey you, me i need my documents!. Shabash! Inabidi tumtafute Mzee Kifimbo Cheza wa Kiingereza, aje kurekebisha hizi tabia, Bujibuji
 
Back
Top Bottom