Ze Komedy mpya EATV ilikuwaje?

AmaniKatoshi

Senior Member
Mar 31, 2009
158
14
Wajameni, salamu na amani kwenu.

Napenda kuuuliza taarifa za ze komedi mpya ya EATV kama ilirushwa njuzi alhamisi walivyoahidi na je, ilikuwaje?

Asanteni, na weekend njema.
 
Wajameni, salamu na amani kwenu.

Napenda kuuuliza taarifa za ze komedi mpya ya EATV kama ilirushwa njuzi alhamisi walivyoahidi na je, ilikuwaje?

Asanteni, na weekend njema.
Hawakuwa na chochote cha kuchesha! komedi inayochekesha kwa sasa ni futuhi tu!
 
Ila Orijino komedi ya T-CCM-BC walinifurahisha kwa kile kipengele cha kuwaiga Ma-presenta wa Aiiitiviiii... Lile neno "Kumradhi"
 
Binafsi nilicheka sana hasa yule bwana alipokuwa akiigiza sauti ya kichaga. Hata ze comedy nao sasa wanaenda vizuri
 
Vichekesho vya siku hizi bwana ni kichekesho tu, matusi na mambo ya aibu tu! Bora umwangalie Churchill wa jirani zzetu!
 
Comedians wa EATV wanatakiwa kufanya kazi ya ziada, Juzi hawakuwa na mvuto kabisa!
 
Back
Top Bottom