Ze Comedy wapya EATV...

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
Wadau, E.A.TV wameanza mchakato wa kutafuta Ze comedy wapya kuziba Pengo la akina Orijino Komedi.... Zoezi litakuwa trh 8....
 
Vp ubunifu wa majina umefika kikomo???? Thought they would come up with a totally different name!!

Ngoja tusubiri tuone.....
 
Wameamua kurudia jina lile lile... hata mm wamenishangaza
 
Jina ni la kwao,ndio maana akina Masanja walishindwa kulitumia kule TBC ingawa walikuwa wanataka kulitumia lakini mambo ya hati miliki/shirikishi ikagoma.
Tusubiri tuone wanakuja na mpya gani maana hawa ORIGINAL KOMEDY wameanza ku........................
 
...vurunda
 
Wadau, E.A.TV wameanza mchakato wa kutafuta Ze comedy wapya kuziba Pengo la akina Orijino Komedi.... Zoezi litakuwa trh 8....

Mzee umekosea tarehe ya kufanya mchakato sio tarehe 8 bali ni 11/02/2010 kuanzia saa tatu asubuhi pale New World Cinema Mwenge
 
EATV nawapongeza sana, maana kuna vijana wetu wengi ambao wana vipaji ila hawana exposure, asanteni sana, naamini mtakuja na mawazo mapya.
 
Back
Top Bottom