Zawadi za miss chitchit mwezi november zitakua kama ifuatavyo

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
habhali yenu bhana
Tukiwa kwenye maandalizi ya kuanza mashindano naona ni bora kutangaza zawadi kabla ya kuanza mashindano hapo tyarehe 31 oct,
zawadi kwa mshindi wa kwanza (ambaye ndio miss)itakua ni muda wa maongezi wenye thamani ya Tshs 8,000/=
zawadi kwa mshindi wa pili itakua ni muda wa maongezi wenye thamani ya tshs 1,500/=
Zawadi kwa mshindi wa tatu itakua nu muda wa maongezi wenye thamani ya Tshs 500/=

Kama kunamfadhili mwingine anaweza kujitokeza kuongeza mfuko huu wa zawadi anaweza ni PM,
nawategemea sana kusikia kaulizene hasa Bishanga ruttashoborwa Judgement Madame B Remmy Erickb52 na wengine wote wenye nia ya dhati katika kuhakikisha zawadi inakua nono hapa chitchit mahala pa kupunguza stress na uchofu wa mihangaiko ya kila siku katika kusaka riziki

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
lundenga nahic harufu ya rushwa, mbona hakuna uwiano kati ya zawadi ya mshindi wa kwanza, wa pili na wa tatu?

hapana charminglady
Utakumbuka kila msimu wetu unakua na mabadiliko,hii ni ili kuweza kuvutia shindano na hata washiriki.kama utakumbuka kwa mara ya kwanza hapakua na zawadi yoyote ile,mara ya pili hivyo hivyo,mara ya tatu nido kuwa na zawadi na hata wewe ulipokea zawadi ya mshindi wa pili,je uritoa rushwa?
Safari hii tuna panga hivi ili kuweka heshima na uzito kwa miss na kuweka ushindani au wewe unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR nipe update. Lini 2naanza kupga kampeni?

kura zitapigwa kuanzia tarehe 31 hadi terehe 02 ikiwa ni kuwasaka top 5,amabo hyo itakua ni nusu fainal,then tunaenda fainal tukiwa na washiriki watano ambao watapigiwa kura tena kuanzia tarehe 02 had trh 05,na hapo ndio tutawapata watatu bora huku wa kwanza ndio akiwa miss
 
Last edited by a moderator:
habhali yenu bhana
Tukiwa kwenye maandalizi ya kuanza mashindano naona ni bora kutangaza zawadi kabla ya kuanza mashindano hapo tyarehe 31 oct,
zawadi kwa mshindi wa kwanza (ambaye ndio miss)itakua ni muda wa maongezi wenye thamani ya Tshs 8,000/=
zawadi kwa mshindi wa pili itakua ni muda wa maongezi wenye thamani ya tshs 1,500/=
Zawadi kwa mshindi wa tatu itakua nu muda wa maongezi wenye thamani ya Tshs 500/=

Kama kunamfadhili mwingine anaweza kujitokeza kuongeza mfuko huu wa zawadi anaweza ni PM,
nawategemea sana kusikia kaulizene hasa Bishanga ruttashoborwa Judgement Madame B Remmy Erickb52 na wengine wote wenye nia ya dhati katika kuhakikisha zawadi inakua nono hapa chitchit mahala pa kupunguza stress na uchofu wa mihangaiko ya kila siku katika kusaka riziki

Nawasilisha

What about a 'one night stand' with JF's cuttest boy?
I think that will make the most of it, and of course the contest will be even more competitive.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom