ZAWADI NONO TZS1,000,000- Picha za Mbowe

Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.

Leta kwanza ya kwako wakati unavuta mmea na kuvaa hereni puani
 
Zikusaidie nn! then milion hiyo peleka hospital wagonjwa wanateseka hata elf 2 tu hawana
 
na wasiwasi wewe ni gwanda la kijani na una lako jambo, mbona hujamsema sugu umeanza kwa mbowe, una lako jambo na umetumwa

Kama alikua hivyo na sasa amebadilika kiasi hiki Anastahili Pongezi sana . Wengi hawawezi kubadilika ndiyo maana unamwona aliekua fisadi enzi za mkapa mpaka leo ni vile vile .
 
mjinga kabisa weka wewe picha zako za wakati ule unaiba magari ya watu mpakani na kuja kuyauza tz. usifikiri watu hawakujui
 
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.

Aunganishe na ya JK alivyokuwa anafata ile totoz ya sinza kwa remi kipindi kile waziri wa mambo ya nje....zikagongana na seya mivaro ooooh seya
 
Yani wewe unatafuta mambo ya mtu akiwa na miaka chini ya 25! Obama alikiri hadharani kuwa alikuwa anavuta bangi wakati yupo chuoni na bado wamarekani wakamchagua.
 
Hata Obama aliwahivuta bangi. Watu hubadiliika kama Sauli na Kuwa Paulo
 
Aunganishe na ya JK alivyokuwa anafata ile totoz ya sinza kwa remi kipindi kile waziri wa mambo ya nje....zikagongana na seya mivaro ooooh seya

Hii ndio JF bhana..😂😂😂😂😂
 
na wewe tutumie picha za mamako kipindi yupo dogodogo ful vimini tumuone hapa.
 
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.
Nitatoa pesa kama hiyo kwa yeyote atakayeweka picha ya mugisher akiwa amejinyea, anatoka makamasi, na amajikojolea kipindi kile akiwa mtoto
 
Kaka usiwe kama wayahudi waliomuhukumu Yesu. Mimi nimeomba tu picha sina nia yoyote mbaya. Kwani kuna kitu mnaficha kuhusu Mbowe na mnadhani picha zitamuumbua?
 
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.

Kumbuka kuna photoshop!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom