zawadi ni sh laki tano kwa atakaeweza.....

Ewaaa at least now nna pa kuanzia, Thnx Keren nami nakuakikishia kabla hata jogoo hajawika ntakua hapo home kwenu!
(Kloro uliee tu)

Smily si patakuwa crowded wajameni ukizingatia nimeshajaa tele humu ndani ? hahaha! hujambo lakini,idd njema.

My dears.....sorry sikuweza kujibu hizi posts maana sredi ilihamishiwa nyumba ya wakubwa, nami sina ufunguo...:)

Stay blessed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom