zawadi ni sh laki tano kwa atakaeweza.....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
na hapa nazungumzia mti,mimea
miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.
 
Hebu eleza kwanza utaratibu wa kutoa hiyo zawadi bila kuathiri faragha ya mshindi? maana nina majibu zaidi ya matano kwa haraka haraka.
 
nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
Na hapa nazungumzia mti,mimea
miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.

bamia....kabeji......bangi.......
 
m inatumika kama kiwakilishi cha mti wowote wa matunda au mmea wowote,so itakuwa ngumu mkuu hasa ukichukulia dau lenyewe mia tano tu....
 
mshindi ni mmoja tu atakae kuwa wa kwanza.....

Naona kuna longo longo nyingi zimeanza, nakupa jibu laki tano kaa nazo, unajua matunda yanaitwa matufaa (apple) mti waka hauitwa mmatufaa bali unajina ambala halianzi na m.
 
Naona kuna longo longo nyingi zimeanza, nakupa jibu laki tano kaa nazo, unajua matunda yanaitwa matufaa (apple) mti waka hauitwa mmatufaa bali unajina ambala halianzi na m.

hebu utaje basi
sio kilkabila
ni kiswahili tu...
 
Jibu rahisi tu mkuu na utnipe tu hela zangu bila zogo nikasheherekee iddi mie nakutajia mingi iwezekanavyo:
Grevelia, Parachichi, Jakaranda, Jetropha, Limao, Karatusi, n.k...
Upo hapo!!!!!!!
 
Kwa kosa hili hata huyu yupo sahihi kabisa, unless tuambiwe bangi sio mmea.

nimesema mti kwanza,
mmea kwa maana wapo watu
mti au miti humaanisha maana nyingi nyingine
hata sex....
 
Huu mti unaozungumziwa hapa ni ule wa jukwaa la maria roza au bustani ya Eden?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom