Zawadi Ngoda soma hapa kwanza tafadhali

Ngoda na genge lake akina Hirizi sijui Ritz mnaanzisha mada mshenzi mbona hapa hatuwaoni penye manufaa ya Nchi ? Njoeni hapa muonyeshe uelewa wenu kwenye hili na siyo story zenu za mtaani tafadhali .
 
Wewe Lunyungu namna gani, nani alikwambia kwamba kwenye chama ccm huwa tunajadili maswala ya msingi Kama haya?
Huku sisi huwa tunajadili umbeaumbea, uongo, jinsi ya kuwaibia wabongo, jinsi ya kuwamaliza wasio "wenzetu", nk.
 
RitzOne niempita kule na HOJA NYEPESI isiokua na tija kwa taifa; anaomba tukamelimishe itikadi ya CHADEMA. Haya ni malengo ya ki-Abunuasi kama kawaida ya wana-CCM kupigia kambi majungu na kuacha issues pembeni mezani.

Ngoja baada ya saa sita usiku uje uone Malaria Sugu, Rajeo na FaizaFoxy watakavyokua wakigombani kujadili Dr Slaa badala ya kero ya ufisadi nchini na nini kifanyike.
 
I don't think the government in power has concrete plans to reduce poverty because they are banking on it (poverty) to win elections and remain in power.
Sentensi moja inayoiumbua CCM sawsawa. Asante sana. Unaweza kujikuta unauliza hivi hiki ni chama cha makafiri nini?
 
Back
Top Bottom