Zawadi for my baby

Kwa kweli awa viumbe huwa havieleweki kabisa jamani, na ule usemi wa mchumba hasomeshwi huwa ni sahihi kabisa, naonge hivi nina mfano ulio hai sana kwangu, kuna dem nilimnunulia simu tuuu lakni kwa kutumia hiyo hiyo simu niliyomnunulia aliiitumia kunitenda. Kwa kweli mpaka sasa dem yeyote akitaka nimpatie chochote toka kwangu huwa namuangalia sana, kwani nahisi wote wako hivyo hivyo. So man frederico kuwa makini sana na hivi viumbe, vina akili nyingi sana.
 
Asante brenda18 huwa namkumbusha japo indirectly lakini bado cha ajabu x wake bado anamuhudumia kwa kisingizio kuwa alizaa nae so hawezi kuacha kumuhudumia. Nyumba nzima kapangishiwa na usafiri kapewa mimi naishi kwenye chumba kimoja tu wala hajatoa hata cent moja ya kodi. Miezi mitatu imepita toka anipe elf 30 ya mwisho

Anamthamini ex wake kuliko wewe, that means bado anampenda na si ajabu bado wako pamoja, kua makini usije kuta mtu anakupotezea tu mda wako mwaya
 
Last edited by a moderator:
Masomo magumu na paper huwezi msaidia
ni lazima utachapiwa na Spacio yako
na yeye hatakubali umgande arudie mwaka mwache atoe uchumi wake km ww ulivyomhonga
 
Heheheee et wenzako wanahonga wilaya sembuse kagari!! Mkuu umesema yupo udsm?wanamla tu tena wale wanaomsaidia assignmnt
 
Hq
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole
haaa
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole
Nasubiri kumwekea mafuta, au siku akipata pancha tutasaidiana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom