jamhuri ya muungano c ndio nawo
wenyewe wanategemea 4.5% watawezaje kuchangia?
Kwani Muungano hauwahusu?
Nadhan na idad ya wajumbe toka kwao ishuke,meanz wawe wachache
Lakini wabunge wao walikomaa kupitisha mjadala wa katiba...Wao wana katiba yao, na washatuma barua UN kuwa huru. Ndio maana kama hawataki hivi. Ni kama Tz ichangie uundwaji wa katiba ya Kenya.
Lakini wabunge wao walikomaa kupitisha mjadala wa katiba...
Lakini wabunge wao walikomaa kupitisha mjadala wa katiba...
Lakini wabunge wao walikomaa kupitisha mjadala wa katiba...