Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

Futa kabisa na vyama vya upinzani tanzania si tunajitekenya huku tunacheka wenyewe futa chadema futa cuf fuka nccr mageuzi futa mfumo wa vyama vingi weka CCM tu kwenye katiba ya jamuhuri Ya muungano afu tuishi hivi hivi ccm oyeeeeeee msajiri wa vyama nchini piga kazi
 
Unaelewa maan ya Udikteta lakini au mnayatumia tu haya maneno? Habari inasema Baraza la Wawakilishi limepitisha (Bunge), ina maana ni maamuzi ya walio wengi sasa iweje tena uwe udikteta?
Barbarosa huwa hana akili! Huwa anajibu kama amekatwa kichwa!
 
bavacha au bavica au what ever ndo mnyama gani. Ungejua sina hata hamu na uanachama wa chama chochote hapo ungenijua. Tumechoka tumesubiri whatever happens. We are numbs. Make numb Nelson make me numb. Sitaki kusikia upuuzi wa chama chochote.

Na bado. Mpaka mjue Dj mtoto wa mjini hajaanza ujasiriamali jana au juzi.
 
Back
Top Bottom