Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Mwisho unakaribia, wakimaliza wakristu wataanzana wenyewe kwa wenyewe kama walivyofanya huko libya na kwingineko
 
Wakuu inanipa shida kuamini kuwa IGP SAID MWEMA, Mkurugenzi TISS pamoja na rais ambao wote ni waislam wameshindwa kudhibiti uhalifu huu unaohusishwa na dini kiislamu. Ni aibu na hatari kwa Taifa ambalo halipaswi kuongozwa kwa misingi ya dini fulani. Mh. Rais tunakuomba watanzania tuliokuamini kuwa hutaliongoza Taifa hili kwa misingi ya dini fulani jitazameni vizuri na wasaidizi wako kama mko sawa, Taifa lisije likamwaga damu ya Watanzania kwa ajili ya udini chini ya utawala wa ccm na rais ambaye ni Mwislamu. Hii ni aibu, naomba kuwasilisha.
 
Wanaopaswa kufuta panga zao ni polisi na ikilazimu wanajeshi kwa kuwa wao wanapigana kwa jina la haki, ili haki ishinde na hapo ndipo kwenye tatizo. Kwa upande wa Zanzibar, uwingi wa waislamu usiwe kigezo cha kuwadhulumu wakristu kwa sababu hata Italy kwenye nchi ya kikatoliki kuna misikiti na haijawahi kusikika kuuliwa kwa shehe. Kwa haya yanayofanyika nawaona waislamu mburula tu!!!
 
sitaki kuambiwa wala kuamini eti walompiga risasi padre nimajambazi au niwatu wasiojulokana hao naamini kabisa ni WAISLAMU!

Ayo ni mawazo yako na yanatakiwa ya heshimiwe. Ila na mimi muyaheshimu mawazo yangu kua kilicho muua paroko ni wivu wa mapenzi. Kazoea kugonga wake za watu, sasa kakutana na wanao miliki cha MOTO ( bunduki )
 
Ayo ni mawazo yako na yanatakiwa ya heshimiwe. Ila na mimi muyaheshimu mawazo yangu kua kilicho muua paroko ni wivu wa mapenzi. Kazoea kugonga wake za watu, sasa kakutana na wanao miliki cha MOTO ( bunduki )

Una uhakika na unaCHOKINENA??
 
kitoabu acha unafiki na uwongo. kama ingekuwa mnamshitakia mungu mnapohisi kuzulumiwa haya ya leo yasingetokea. mbona jana mliandamana juu ya shekh wenu ponda? mkaanzisha vurugu pale watoto walipobishana na kufikia hatua ya mmoja wao ambaye ni mkristo kuhakiki ukweli ule kwa kufnya experiment ya kukojolea quraan? mmepandikizwa roho mbaya za kuuchukia ukristo bila kupewa sababu ya kufanya hivyo. angalieni siku zinahesabika.
 
Imani yetu ya kiislam muuwaji ana uhakika wa mabikira 72 ahera[/QUOTE :Hujaeleza vizuri kwa mujibu wa imani yetu,Hao mabikra macho yao kama mayai ya mbuni,makalio yao yalivyo makubwa sawa na kontena futi arobaini,mwanaume zakari hailali mwanzo mwisho,na mito ya pombe unachagua upendayo.
 
Hii nchi hii..!, kazi ya mahubiri ya Sheikh Ilunga imeanza kuonekana....

Mkuu sio Sheikh Ilunga tu, hawa wahubiri wa dini zote kuu mbili,siku hizi wanahubiri zaidi utengano na chuki! hawana mahubiri ya upendo kama walokuja nayo wamisionary na waanzilishi wa uislamu huku kwetu! wengi ni kukashifiana kwa hali ya juu,hili naliona hata humu Jf,imefika mahali Mtume Muhammad katukanwa sana humu,mara mmbakaji, anafuga majini, sheikh kikoti nk.Hii si ishara nzuri,tujirudi jamani!
 
Ndio na nyinyi wakristo chagueni rais wenu, IGP wenu, na viongozi wenu wawalinde.
 
Nimetoka kanisani ..neno moja nlilofundishwa ni kuwa na,mamlaka juu ya shetani na wafuasi wake...naamini wakristo tutafanya maombi dhidi ya hawa magaidi.
 
Ayo ni mawazo yako na yanatakiwa ya heshimiwe. Ila na mimi muyaheshimu mawazo yangu kua kilicho muua paroko ni wivu wa mapenzi. Kazoea kugonga wake za watu, sasa kakutana na wanao miliki cha MOTO ( bunduki )

du, bado hujanishawishi. Tutakwepa sana ukweli, MAUAJI ni ya KIDINI
 
Babu na bibi zetu walikuwa na imani zao. Waliishi nazo karne kwa karne mpaka tulipoletewa dini hizi za kuja. Kuna matatizo gani kwenye imani zao kiasi cha sisi kuzisahau kabisa?

Kuna dini nyingi sana hapa duniani zikitumia njia mbalimbali kuabudu. Dini zote hizi zinaabudu MUNGU. Nchi za Asia zinaongoza kwa kuendelea kuabudu imani zao za asili na kutokubali kuacha imani zao hizo kufuata imani za kuja. Wanaishi vizuri tu na Mungu anawabariki kwa kuwa mataifa ambayo yako njiani kuongoza dunia nzima kwenye kila nyanja ya maisha – Uchumi, Ulinzi, Sayansi, n.k.

Jambo la kusikitisha kwetu ni kwamba vijana wetu hawakupewa hata nafasi ya kuchungulia imani zetu zilikuwaje ili waweze kufanya tathmini na kuona kama wanahitaji kukumbatia dini hizi za kuja au warudi kwenye mizizi ya mababu na bibi zao. Historia yote ya dini hizi za mababu zetu imefutika na hakuna hata juhudi ya kuikusanya na kuihifadhi angalau kama historia ili vijana wetu waweze kuipitia na kufanya maamuzi yao. Hata mashuleni kwetu hakuna hata mitaala inayowafundisha vijana wetu imani zetu. Kwa nini tuone haya kuamini kwenye vitu ambavyo mababu na mabibi zetu waliviamini?

Sasa tunaburutwa na dini hizi za kuja na kwa kweli ninapopitia thread hii najisikia vibaya sana kiasi nashindwa kuzuia machozi kutirika jinsi ambavyo tumeanza kuchukiana na kunyoosheana vidole kwa dini hizi za kuja ambazo zililetwa kwetu si kwa ajili ya kusambaza dini zao bali kama chombo chao cha kuweza kutupotezea lengo ili watuibie na kutunyanyasa na kutufanya watumwa.

Naona humu watu wanaapizana kwamba wao kuanzia sasa ni maadui!!!! Tumefika hapa kweli ndugu zangu Watanzania? Wote tutakaokubali kufa kwa ajili ya kuzitetea dini hizi za kuja tutaishia motoni.
Tuanze sasa juhudi za kujitambua kwa kurejea na kupitia imani za Wazee wetu na kuacha kuburuzwa na imani hizi za kuja kwani Wazee wetu (R.I.P) nao walikuwa wakimwamini Mungu kama wengine.
Wanahistoria wa Tanzania tafadhali tutendeeni haki kwa kutafuta habari za dini za mababu na mabibi zetu ili tuweze kuzihifadhi na kuzitumia. Mimi nitakuwa mtu wa kwanza kuzitumia.

Mwisho nawaomba Watanzania wenzangu tuepuke kuburuzwa na hisia za dini hizi za kuja kiasi cha kufika kuchukiana na kuuana wenyewe kwa wenyewe. Tuelewe kwamba Taifa letu ni masikini mno kuweza kupoteza Watanzania wenzetu wanaohitajika kwa ajili ya ujenzi wa taifa letu kwa kuuwana wenyewe kwa wenyewe kama vile sisi ni MATAAHIRA.

Tutumie nguvu zetu kutafuta suluhu ya matatizo yetu kama Taifa ili tuweze kuwa na Taifa lenye neema.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRICA
 
Wanatekeleza maagizo ya serikali, maana serikali zote mbili lengo lao ni kuwamaliza wakristo wote ili waishi wao tu hapa Tanzania, kitu ambacho hakitafanikiwa hata kidogo bali kujipalia laana wao na vizazi vyao. Kamwe 2015 kura yangu sitampa mtu wa imani hii kumbe siyo binadamu kabisa nilizani ni watu wa kawaida kumbe ni makatili na mashetani kabisa. JK waambie waislamu wenzako wasijalibu kuomba uongozi mahali wanapojua kabisa waislamu ni wachache wadharirika bure, labda waende huko Zanzibar kwa majua wenzao.
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

Tunaelekea wapi ndugu zangu waTZ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom