Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Shehe alitoa agizo maaskofu na mapadre wauwawe bado anapeta mitaani, huku polisi wa Mwema wako bize kuwatafuta waliomtukana Makinda.
 
it's official, Tanzania is in BIG MESS. the country has been f&&ed up. Period.
 
pole sana kama una mawazo haya ambayo me nimeya-highlite

Nani asiyewajua roho mbaya yenu mnasahau kuwa wote ni binadam mnaeneza sera za ubaguzi wa dini nakujiona nyie ndo taifa teule la Mungu.Kazi mnayo na huyo allah wenu.
 
kwa wapenda amani wote,TUITANGAZE ZANZIBAR NI ENEO HATARISHI KWA WAKRISTO

kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?
 
Amepigwa risasi wakati anaenda kusalisha misa, je? ni majambazi?, majambazi watake nini kwa padri ambae anaenda kanisani hapa pesa hana, Je, ni uhalifu wa kawaida?, uhalifu wa kawaida kwa padri anaeenda kusali ili iwe nini?, Sasa basi nini?, NAJUA UNAJUA NI NINI.
 
Them Islams can do anything in the name of religion. Upole wa waKristo itakula kwao mkidhani hawa jamaa siku wataacha kisa hamlipizi basi endeleeni kusubiri hadi muishe, wao nia yao nikuwamaliza wote. Hata kwa nchi za kiislamu fully hawaelewani wao wenyewe kama huko Malí, Iraq, syria n.k
 
kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?
Hapa tu ushatoa picha kamili hata kwa asiyeelewa, na inaonekana una furaha sana, hongera.
 
Wana jamvi ikwa mujibu wa redio one kapigwa risasi na kufa,alikuwa anaenda kutoa huduma ya misa mtongani akapigwa na vijana wawili waliokuwa kwenye vespa.
 
Them Islams can do anything in the name of religion. Upole wa waKristo itakula kwao mkidhani hawa jamaa siku wataacha kisa hamlipizi basi endeleeni kusubiri hadi muishe, wao nia yao nikuwamaliza wote. Hata kwa nchi za kiislamu fully hawaelewani wao wenyewe kama huko Malí, Iraq, syria n.k

Una maneno mengi kwani wewe ni polisi????
 
Mtu akifa basii siku yake imetimmia nini tena chakuoji au kuuliwa ndo sababu eee?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom