Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

Status
Not open for further replies.
Matukio kama haya na la kumwagiwa tindikali kali ndio CCM tungekuwa tunaonesha utendaji wetu na wananchi wanarudisha imani taaratibu.

Fukuza ocd,yakiendelea toa rpc..ikizidi ondoa igp.

Sio propaganda za dini ya slaa na kadi yake.
 
mimi Kama mtanganyika nimechoshwa na haka kakisiwa cha unguja... Muunganomuungano tumechoka hatuutaki
 
Kim ,

Shida watu wanaumwa bado na propaganda za udini. Ila wakristo ndugu zanguni ni vema mtafakari hili swala la mfumo kristo nchini. Ubaguzi unaondelea unajenga chuki na matabaka na mwishoe kila jambo linatfsiriwa kwa udini na chuki.

Nilikuwapo

uwo mfumo kristo ni upi mnao usema!
 
Labda hayo ni majibu ya hao jamaa kufuatia tamko la maaskofu leo. Muda sio mrefu chini ya utawala huu dhaifu wa CCM tutaanza kusikia vikundi vya kihalifu vikiuwa halafu kujitangaza rasmi kuhusika na mauaji hayo sawa sawa na ilivyo Pakistan, Afghanistan, Palestine na kwingineko. Yetu macho.

Umesahau na uganda mchungaji joseph kony anavyoeneza neno la bwana kwa mtutu wa bunduki
 
Ee Mungu tuepusha na jinamizi hili lililovamia nchi yetu. Pole padri.
.
 
Kaka Elungata mbona ni mgumu kuamini? Si lazima habari uione wewe.

Ukweli ni kwamba ITV wametangaza habari hiyo. Na kuhusu Farouk Karim yeye ndiye aliyeripoti kupitia Radio One.

Poleni sana Wa-Catholic wote nchini.
 
Last edited by a moderator:
Labda kama ni maandishi mybe i wasnt paying attention.ila kwasasa sioni maandishi na tamthilia a woman of steel ndo iko hewani.
Na ninajua kama ni maandishi hawaweki jina la repota.sasa mtu anajuaje kuwa ni farid ndo karipoti.?

Usiwe unakurupuka kuchangia uzi huku umesoma kimawenge...

Mahali gani DSN ametaja itv? Au sikuhizi Radio 1 huko kwenu inaruka moja kwa moja ktk luninga?
 
mkuu unatia aibu kwa maelezo yako

kivipi kamanda,kosa langu kusema tusifanye pupa kuhukumu?kwani hii ni mara ya kwanza mtu kupigwa risasi nje ya geti kaka?inaweza kuwa ya kwanza kwa zanzibar lakini vipi mwanasheria mwaikusa na kamanda mateo?nao kulikua na udini au siasa?!!!!!!!!!!!!!!!
 
Itv ya saa ngapi mbona mi naangalia itv sijaona?

Mkuu Elungata,
Naona umelewa kahawa na pilau la pale Pass-show.

Fr. Mkenda nilimwona mara ya mwisho alipokuwa Dar Es Salaam na kusalisha pale St. Joseph kwenye misa ya Jioni ya akazi. Aliambatana na Padre mwingine (nadhani alikuwa ni Fr. Kiwale wa Arusha). Ni muda sasa.

Pona haraka. Sikukuu imeshakuwa mbaya sana hii!
 
Last edited by a moderator:
mimi Kama mtanganyika nimechoshwa na haka kakisiwa cha unguja... Muunganomuungano tumechoka hatuutaki
hata mimi hzi kelel
e za mungano nimezichoka kama vp 2wahache na kisiwa chao coz coni hyo faida ya huo mungano kwetu watanganyika!
 
Dah! Aisee nimeiona hii habari kupitia I.T.V wakati tamthilia inaendelea wakawa wanapitisha mkanda wa maandishi...Mungu amsaidie dah! Sijui tunaenda wapi jamani sasa

kuna picha yake pale habari mchanganyiko mod unganisheni hizi threads !
 
attachment.php


Padre Ambrose Mkenda akiwa hospitali
 
Labda kama ni maandishi mybe i wasnt paying attention.ila kwasasa sioni maandishi na tamthilia a woman of steel ndo iko hewani.
Na ninajua kama ni maandishi hawaweki jina la repota.sasa mtu anajuaje kuwa ni farid ndo karipoti.?

tomaso
 
Labda kama ni maandishi mybe i wasnt paying attention.ila kwasasa sioni maandishi na tamthilia a woman of steel ndo iko hewani.
Na ninajua kama ni maandishi hawaweki jina la repota.sasa mtu anajuaje kuwa ni farid ndo karipoti.?

jaman sasa ndugu tuweke wazi basi unataka kutuambia iyo taarifa n ya uongo maana the issue ndo iyo iliopo hewan so unataka vidhibitisho au
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom