Zanzibar ni sawa na Kigoma, asema Shamsa Vuai Nahodha

Viva Hahodha, very clever!!!

I wish he was Intelligent rather than clever!!!! the fallout from his statement is going to be gargantuan!! poor him. zanzibaris are not going to take it that lightly like you!!
 
Said Abdallah Natepe alikuwa upande gani wa Tanzania na alipewa majukumu ya aina gani? Halafu hujajibu hoja ya utaratibu upi unatumiwa kumpata kiongozi wa majeshi yetu maana kama kuna wanajeshi 10 walio na sifa za kupata hiko cheo, lazima atakayepewa ni mmoja tu. Kwanini apate yeye ndio nataka kujua. Haya mambo ya kugawana madaraka kama njugu yameanza kufanya hili Taifa liende mrama kwa kukosa maarifa na kuwajibika.

Abdalah Natepe hakuw amzanzibar asili bali mmoja wa wamakonde waliosaidia mapinduzi kama JOhn Okello, mganda aliyesaidia mapinduzi.
 
Swali la Zitto baya sana na kachemsha vibaya sana... Nahodha kamjibu ipaswavyo kwa maana huwezi kutafuta kiongozi wa Jeshi kwa kufuata sehemu anazotoka iwe zanzibar au bara. Vyeo vya Jeshi vina utaratibu wake halafu haya maswala ya kusema mbona sehemu fulani haiwajahi kuwa na kiongozi hii ndio fikra finyu zinazowakabiri wananchi wengi sana na ndio maana Chadema inapiga vita hata msemo wa watu wa Kaskazini.

Binafsi yangu naamini uwezo wa mtu dhidi ya Ukabila au dini na sintojali kama kiongozi anatoka sehemu gani. Marekani na hata Canada kuna sehemu hazijawahi kutoa kiongozi wa juu kuongoza nchi na haijawa kabisa kuwa tatizo, lakini hizi fikra za kutazama watu kwa rangi zao, sijui kwa nini Zanzibar haijawa hivi ama vile ni kutafuta sababu za mgogoro. Siku kiongozi yeyote atakaye anzisha kero kama hii huko Marekani au Canada basi bila shaka ndio utakuwa mwisho wake kisiasa maana hawa japokuwa kuna states 50 tofauti lakini UMOJA wao una nguvu ya ajabu.

Kama kuna kiongozi mzuri atatoka Zanzibar kuiongoza Chadema, CCM au CUF haiwezi kuhesabika kwa kumtazama kiongozi huyo uzawa, kabila au dini yake fikra hizi ndizo haswa KERO za Muungano. Ndizo chimbuko na mtafaruku woote unaozungumzia kero za muungano maana kesho Wapemba nao watadai mbona hatujawa na rais nasi Wakerewe tutakuja dai nafasi zaidi ktk serikali ya muungano maana ndio kabila lenye wasomi wengi nchini. Tutafika kweli?
 
Maneno yako ni mazito lakini ni wachache wanaofikiri hivyo

Watu wamenywesha siasa za kibaguzi za uafrika , uarabu, utumwa na usultani , zimekuwa ndio nyimbo , tutegemee nini ??? si wapinzani si serikali nyimbo ndio hizo

SAFARI TUNAYO KUBWA SANA YA KUONDOA FIKIRA HIZO
 
Jamani lile lilikuwa ni swali la niongeza ambalo Zitto alilirukia tu lakini lilikuwa limeanzishwa na Mbunge wa Zanzibar.Swali lile kwajinsi lilivyoulizwa lilikuwa ni provocative question halikuwa serious!!So jinsi Vuai Nahodha alivyojibu ni sahihi kabisa.
 
Sawa hata huyo Mbunge wa Zanzibar aliyeanzisha alitakiwa kukemewa na Zitto kumpa majibu yanayotakiwa na sio kuongezea swali linalounga mkono madudu yale yale. Nimesema sana ya kwamba huwezi kupambana na Udini au Ukabila kwa kutafuta Uuwiano maana haiwezekani usawa huo. Ni sawa na kujaribu kuhakikisha kila mtu anapata mgao wa keki ya Taifa - Haiwezekani. Work hard utavuna ulichopanda na sio kudandia mavuno kama Nyani au nguruwe.

Kinachotakiwa ni kuwepo nafasia sawa kwa kila mmoja wetu kujiunga, kugombea na kushiriki kama uwezo wako mdogo ama huna kiwango cha ujuzi kinachotakiwa inabidi ukubali matokeo na sii kuyang'anganiza. Hivi Mkuu wa Jeshi akiwa Mzanzibar atafanya kipi tofauti kuboresha kama sii fikra za yeye kututenganisha! Hivi rais akiwa Mzanzibar, mkristu au Muislaam tunategemea atafanya nini tofauti?. La muhimu ni kuepukana na mtu ambaye atatumia dini au kabila yake kunufaisha upande wake, huyu ndiye wa kumwogopa. Hivyo tunachotakiwa ni kutazama kiongozi mwenye mapungufu ya Udini, Ukabila na kadhalika na kumyima nafasi hiyo kwa sababu ataleta Ubaguzi na sio kumkaribisha kiongozi anayewezesha Udini na Ukabila ati tunafanya uuwiano.
 
Sasa we mh zitto unataka mkuu wa majeshi mla urojo tutafika kweli?
 
Amuulize Mohammed Seif Khatibu.Alishawahi kushutumiwa kuwa anaikandamiza Zanzibar wakati akiwa Waziri wa Muungano.Ngoja anogewe na madaraka ya bara, watamkoma.
 
nikionacho mimi toka kwenye majibu ya Nahodha ni kuwa ndani ya CCM wengi wao wanaona njia pekee ya kukizuia CDM kujijenga ni kukizushia habari za ukabila na umaeneo. kwake Nahodha alichokuwa anajaribu kukiwakilisha ni kuwa CDM wao ni watu wa kaskazini tu watakaoshika uenyekiti wake na si toka sehemu nyinginezo. kwa vile hii sio mara ya kwanza kwa viongozi waandamizi wa CCM kuleta hoja za ukabila/udini/u-mikoa dhidi ya CDM, bila shaka yoyote hii ndo hoja yao pekee dhidi ya CDM, ambayo wanajua inaweza kufanya kazi. nyinginezo zimeshindwa....no wonder wanakosa usingizi

Mkuu zaidi ya hapo huyo Nahodha kasahau kuwa hata CCM yenyewe ilioanzia TAA ikaja TANU haijawa pia na Mwenyekiti toka Kigoma, sembuse Chadema ambayo ndo kwanza inakazana kutanua mabawa?? Hizi siasa za Majitaka zitatugharimu sana!
 
Sidhani kama umesikiliza kipindi chote cha bunge leo. Swali unalouliza Serikali wamejitahidi kujibu kama dhana yako katika sehemu mbalimbali za nchi hii lakini serikali imefika mahala imeona jibu kama lako halina msingi na wabunge wauliza maswali wana hoja.

Imetajwa mifano mingi kama vile kusini ambako wamelalamika hawaoni wanajeshi wakiajiriwa kwa wingi huko japo iliahidiwa mambo yatakuwa sawa. Waziri amekubali kwamba wabunge waonapo kasoro wazitaarifu mara moja.

Na hata katika majibu ya Nahodha kwa Zitto hakujikita kwenye hoja kama ya kwako. Zitto kapewa majibu sahihi isipokuwa alichofanya Nahodha ni kile waswahili wanachoita kuchamba kwingi mwisho unashika na mavi badala ya kujisafisha.

Una haki ya kutoa maoni lakini sijui yamejikita katika msingi gani wakati hata unaodhani unawatetea ni wazi hawaoni msaada wa utetezikatika hoja yako.

Msilumbane angalieni Hansard zinasemaje mtaja jibu la msingi liliishia wapi. Mimi kwa maoni yangu Zanzibar ni sawa na Kigoma maana nayo ilikuwa chini ya nchi nyingine hadi baada ya vita ya kwanza ya dunia...kwa sababu hiyo ilikuwa kama Zanzibar na sasa imerudi Tanganyika baadae Tanzania si kwamba haikunyang'anywa kitu fulani kirudishwe uone!!!!
 
Binafsi sijapenda swali la Zitto, mkuu wa majeshi hateuliwi kwa kuangalia sehemu anapotoka bali ni sifa na weledi alionao. Wakati mwingine Zitto una teleza, nafahamu ni mwepesi wa kukubali pale unapokosea.
 
I wish he was Intelligent rather than clever!!!! the fallout from his statement is going to be gargantuan!! poor him. zanzibaris are not going to take it that lightly like you!!
How true!!
Coming from a CDM inclined thinker!!
 
Mkuu zaidi ya hapo huyo Nahodha kasahau kuwa hata CCM yenyewe ilioanzia TAA ikaja TANU haijawa pia na Mwenyekiti toka Kigoma, sembuse Chadema ambayo ndo kwanza inakazana kutanua mabawa?? Hizi siasa za Majitaka zitatugharimu sana!

usemalo ni kweli kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom