ngozimbili
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 1,398
- 1,006
ngoja niweke sawa hapa sisi Watanganyika baadhi yetu hasa watawala tunapenda kuionea zanzibar kwa mantiki zilizopinda,
1 tunaichukulia zanzibar kuwa ni nchi ndogo kwa kuwa ina jiografia ndogo,na ukweli ni kwamba ukubwa wa nchi haupimwi kwa jiografia,ingelikuwa hivyo Tanzania ingekuwa taifa kubwa kuliko uingereza,israel,sweden,qatar kutaja kwa uchache.
2 idadi ya watu:fimbo nyingine tunayowatandikia wa znz ambayo siyo ni idadi ya watu Pasco kwa kiburi cha kitanganyika anasema znz inazidiwa na Kinondoni basi kama ni hivyo sisi ni taifa kuu kuliko UAE,ISRAEL,SINGAPORE,FINLAND nk
lazima tukubali tunapoungana na nchi/taifa,tunakuwa tunaungana na taifa lenye HADHI sawa,vinginevyo kuna ulazima gani wa kuungana nalo?