Zanzibar na hatima ya Muungano ni hatari...

usiumize kichwa, raisi wa zanzibar ni shein mpaka uchaguzi utakapoitishwa tena, na mshiindi kupatikana raisi mpya atatangazwa, kwa sasa raisi ni shein na shuguli za serikali zinaendelea kama kawaida,

jamani watanzania wote,hali halisi ya kisiasa kule visiwani mnaishuudia,,,,ninachojiuliza hivi wabunge wale wa muungano watakwenda kuapishwa Dodoma au..?na pia wizara za muungano atataeuliwa nani toka Zanzibar kwani inasemekana uchaguzi na matokeo yake yamefutwa,
Jee hali hii inauweka muungano katika hali gani..?
SI NDIO MWISO WAKE NA WANAOUVUNJA NI VIONGOZI WA CCM YENYWE..
EBU TUSHEE MAWAZO YENU YOTE KUHUSU HILI....
 
Muungano hata ukivunjika hakuna madhara ya moja kwa moja kwa wananchi wa kawaida#
 
Jikite kwenye uchungaji wa ng'0mbe achana na siasa...

Hivi wakati lubuva akiongea ulikuwa wapi?

Mkiitwa malofa mnakasirika
 
Uchaguzi uluoharibika ni wa zanzibar unaosimamiwa za zec yaani baraza la wawakilishi, sheha na Rais wa zanzibar. Ule wa wabunge na magufuli ulikuwa Safi.
Chezea nyinyiem wewe?
 
uchaguzi ulishafanyika zanzibar na msindi ni maalim seif uchaguzi mwingne 2020labda uchaguz mnaongejeaZFA
 
Jamani Watanzania wote, hali halisi ya kisiasa kule visiwani mnaishuudia, ninachojiuliza hivi wabunge wale wa Muungano watakwenda kuapishwa Dodoma au? na pia Wizara za Muungano atataeuliwa nani toka Zanzibar kwani inasemekana uchaguzi na matokeo yake yamefutwa.

Je, hali hii inauweka Muungano katika hali gani?

SI NDIO MWISO WAKE NA WANAOUVUNJA NI VIONGOZI WA CCM YENYEWE.
EBU TUSHEE MAWAZO YENU YOTE KUHUSU HILI.
Muungano uko imara, wabunge wa Muungano kutoka Zanzibar wapo na watakwenda kuapishwa Dodoma ambapo watateuliwa kushika Wizara za Muungano.Zanzibar sii nchi, ni sehemu tuu ya JMT yenye utawala wake wa ndani, nafasi ya Zanzibar katika set up ya muungano ni kama nafasi ya wake wenza kwenye set up ya ndoa za mitala, hao wake hata wakilumbana vipi, ndoa bado iko imara kwa sababu determinant ya uimara wa ndoa hiyo ni mwanamume na sio wale wanawake wanaolumbana!.

Hivyo kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar ni mambo tuu ya jikoni, ni kama upepo tuu, unavuma na utapita huku nyumba iko imara!.

Paskali
 
Pasco.

Wakati mwingine pasco huwa unaakili, au jua limeanza kukomaa??
 
tunapoongelae muungano sio ki2 kidg cha kufananisha na hyo ndoa yako
Ndoa ni jina tuu, hata muungano ni ndoa ukifuata kanuni za ndoa!. Ndoa ni muungano wa watu wawili, wenye miili miwili, kuungana pamoja na kuwa mwili mmoja!. Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa mbili, Tanganyika na Zanzibar, zikaungana kuunda nchi moja ya JMT. Matatizo ya Zanzibar sio matatizo ya JMT ni tatizo la sehemu moja ndogo sana ya JMT kama ukucha tuu wa kidole kidogo cha mkono wa kushoto!.

Wapiga kura wote wa Zanzibar hawafiki hata laki 500,000!, yaani hata wapiga kura wa Kinondoni tuu ni wengi kuliko Wanzanzibari wote!.Hili la Zanzibar sio kubwa kivile!, ni dogo tuu na litamalizwa ndani ya siku 90!.

Paskali
 
Muungano uko imara, wabunge wa Muungano kutoka Zanzibar wapo na watakwenda kuapishwa Dodoma ambapo watateuliwa kushika Wizara za Muungano.Zanzibar sii nchi, ni sehemu tuu ya JMT yenye utawala wake wa ndani, nafasi ya Zanzibar katika set up ya muungano ni kama nafasi ya wake wenza kwenye set up ya ndoa za mitala, hao wake hata wakilumbana vipi, ndoa bado iko imara kwa sababu determinant ya uimara wa ndoa hiyo ni mwanamume na sio wale wanawake wanaolumbana!.

Hivyo kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar ni mambo tuu ya jikoni, ni kama upepo tuu, unavuma na utapita huku nyumba iko imara!.

Pasco.

Pasco,
kumbe sehemu ya nchi inaweza pia kuwa na katiba na rais? I mean hata hapa kwetu bukoba tunaweza kuwa na rais wa bukoba, masheha, wawakilishi, nk?
 
Ndoa ni jina tuu, hata muungano ni ndoa ukifuata kanuni za ndoa!. Ndoa ni muungano wa watu wawili, wenye miili miwili, kuungana pamoja na kuwa mwili mmoja!. Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa mbili, Tanganyika na Zanzibar, zikaungana kuunda nchi moja ya JMT. Matatizo ya Zanzibar sio matatizo ya JMT ni tatizo la sehemu moja ndogo sana ya JMT kama ukucha tuu wa kidole kidogo cha mkono wa kushoto!.

Wapiga kura wote wa Zanzibar hawafiki hata laki 500,000!, yaani hata wapiga kura wa Kinondoni tuu ni wengi kuliko Wanzanzibari wote!.Hili la Zanzibar sio kubwa kivile!, ni dogo tuu na litamalizwa ndani ya siku 90!.

Pasco

Pasco,
Muungano wa nchi mbili? Kwenye post ulisema Zanzibar siyo nchi..
 
CCM wanaamini kuwa hakuna chama kingine kinachostahili kutangazwa mshindi hata kama chama hicho kimeshinda kihalali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom