Baada ya hapo tutaanza mchakato wa kuitambua tanganyika.
Sikubaliani na style ya sasa ya watanganyika kuwaburuta Zanzibar kwa mwavuli wa TANZANIA. Nashauri wakuu wetu wa nchi waangalie possibility ya kuipatia zanzibar hadhi ya nchi kwenye uwakilishi wa EAC.
Tanganyika tunajitambua dats y hatutumii muda wetu kuomba wat we have in our mind! Tukae tujenge taifa mipaka ipo tu na utaifa upo tu siku zote.
Ungeweka Picha ya Nguruwe na mishkaki yake ndo ingenoga zaidi
Do not offend anyone, just go back to the thread nimetokea kuipenda lakini unataka kuleta chembe za itikadi nisiyoipenda kwa kua naipenda Tanzania.....
Is not my intention offending anyone, ila kuna watu wameanza kuleta chembe chembe mbaya.
Anyway, back to the topic:
Viongozi hawataki kusikia yafuatayo:-
1) Kuitisha referendum yenye maswali mawili kwa wananchi, je mnautaka kuendelea na Muungani YES or No
2) Kama jibu ni YES, Je ni Muungano wa namna gani wananchi wanautaka? Muundo wa serikali ukoje?