Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?
Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,
Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?
Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?
Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?
Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?
Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar