Zanzibar iko mbioni kuzama baharini

Watu wanapambana kupunguza madhara ya global warming; Pandeni miti kwa wingi mje kuuza Cabon; mijihela imeshaanza kutengwa kwa wale wenye misitu, ili wasiiharibu, ujanja kuwahi; wazungu watakuja kuwahi misitu yetu huku na kujilia mamailioni ya dola;
 
"RAS NUNGWI IMEZIDI KUWA NA MAENDELEO KWA ZANZIBAR INAINGIZA PATO KUBWA KWA TAIFA LA ZANZIBAR "
Ras Nungwi

Situated in Nungwi in the northern part of Zanzibar, Ras Nungwi is a piece of Zanzibar heaven. This is the best place for diving and snorkeling on Zanzibar
Ras Nungwi is a piece of Zanzibar heaven. Situated on the northernmost peninsula, it offers guests the opportunity to experience the beach-holiday of a life-time, as well as the chance to experience the magic of the local Swahili culture of the nearby Stone Town.

Ras Nungwi is every divers dream! Situated on the northernmost peninsula of Zanzibar, the resort is located on the Indian Ocean and running alongside a beautifully unspoiled coral reef. Here the marine life is teeming with local fish as well as dolphins and turtles.

Ras Nungwi boasts excellent diving facilities for both beginners and experienced divers and snorkellers – allowing you to explore and enjoy this awe-inspiring marine life up-close-and-personal. Of course, if you’d prefer to keep your head above the surf, why not try your hand at one of the other water-sports on offer at the resort, such as windsurfing, kayaking and dhow excursions around the island

HAYO NDIO MAELEZO YALIYOIPATA RAS NUNGWI
WAZANZIBARI WA LOCAL HUKO WANALALAMIKA KWA VILE WATALII WAMEZIDI KUWA WENGI KWA AJILI YA UTAMADUNI WA KI ZANZIBAIS
A%20S%20465.gif

Nashukuru kwa maelezo yako yasiyo yakisansi.
nashawishika kuamini kuwa hujafika Zanzibar (rasi ya nungwi) ukaziona hizo mita 100 zilizo mezwa na maji.
Maelezo yako umeyatohoa kwa watu au kwenye mtandao fulani. Itafaa ukajionee mwenyewe halafu uje na facts zinazopinga kuwepo kwa sehemu iliyo ndani ya maji!!
 
Achana na Kisiju, umeliona ji refinery linalojengwa huko? wachaaaaa! Pwani ya Tanzania hususan, Mkuranga, Kisiju, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara ndio utajiri mkubwa wa Tanzania ulipo. Kama hujawahi kanunuwe viwanja huko, vitawasaidia sana wanao.

::Noor Oil Refinery & Pipeline Tanzania::

tayari nina kiwanja mbona? nina kiwanja vikindu na msindaji, pia nina beach plot huko palacha karibu na kisiju.
 
Kisiwa na auanguja kikifunikwa si watarudi Tanganyika walipo zaliwa bibi na babu zao ingawa sasa hawana thamani kwao lakini ipo siku wata walilia na kuwaomba msamaha kwa kejeri na matusi wanayotoa
 
Unajua watu wanafanya mzaha. Climate change is real! Na in less than three decades visiwa vingi vitakuwa hatarini kupotea. Juzi juzi nilikuwa nafanya na jamaa yangu research kuhusu hizi nchi za visiwani (Maldives to be specific) mpaka sasa serikali yao imeshaweka contigency plans za raia wake kuhamia Australia kwa sababu wanajua in few years Maldives itapotea kabisa. Na hata ukiangalia katika UN..hii debate ya climate change wanaoishikia bango ni nchi za visiwani....Jamani hii issue ni very serious. Lakini as usual the Jusa`s of this world hilo hawalijui. Na kiuhakika kisiwa kama Zanzibar salama yao inabidi waendelee kuwa chini ya kivuli cha 'big brother' Tanganyika! Anyway, kama kawaida yetu..waswahili hatujui planning. Tunajua emergencies.

Masanja
 
Nashukuru kwa maelezo yako yasiyo yakisansi.
nashawishika kuamini kuwa hujafika Zanzibar (rasi ya nungwi) ukaziona hizo mita 100 zilizo mezwa na maji.
Maelezo yako umeyatohoa kwa watu au kwenye mtandao fulani. Itafaa ukajionee mwenyewe halafu uje na facts zinazopinga kuwepo kwa sehemu iliyo ndani ya maji!!

Kwa hiyo wewe sayansi uliyo fundishwa ni kupima kina cha maji kwa macho?
 
Hii habari nilishaisikia na kuna kisiwa karibu na India, jina limenitoka, Rais alishafanya hadi kikao cha kujadili hili tatizo akiwa chini ya maji na anapumulia mitungi ya Oxygen.

Visiwa vingi vya bahari ya hindi vitamezwa within 100 years to come.

Nafikiri Wazenji wa siku hizo ambao watakuwa wajukuu wa akija JUSA, watakuja Tanganyika kama Wakimbizi na si kuja kuomba Muungano maana wao kwenye Muungano wataleta nini? Kama Bahari na maji yatakuwepo kibao.

Lakini kwa Sababu watakuwa na mafuta, basi watanunua mi-meli mikubwa sana au Miboya mikubwa na kuanza kuelea huku wakipokea kila siku vyakula na maji kutoka Tanganyika. Watabaki wakiishi juu ya maji kama wanavyoishi watu huko Thailand, Indonesia, Viet-nam nk juu ya mitumbwi.

vinaitwa Maldives
 
Unajua watu wanafanya mzaha. Climate change is real! Na in less than three decades visiwa vingi vitakuwa hatarini kupotea. Juzi juzi nilikuwa nafanya na jamaa yangu research kuhusu hizi nchi za visiwani (Maldives to be specific) mpaka sasa serikali yao imeshaweka contigency plans za raia wake kuhamia Australia kwa sababu wanajua in few years Maldives itapotea kabisa. Na hata ukiangalia katika UN..hii debate ya climate change wanaoishikia bango ni nchi za visiwani....Jamani hii issue ni very serious. Lakini as usual the Jusa`s of this world hilo hawalijui. Na kiuhakika kisiwa kama Zanzibar salama yao inabidi waendelee kuwa chini ya kivuli cha 'big brother' Tanganyika! Anyway, kama kawaida yetu..waswahili hatujui planning. Tunajua emergencies.

Masanja

Ni hakika.kuna watanzania hupenda kubeza tu na kukebehi tu hata mambo serious badala ya kuanza kuweka mikakati mapema kuwa hivi Zanzibar ikizama wanzanzibari wataelekea wapi na kuanza process mapema.Wenzetu walipoona hali za biashara na ajira zinaanza kuwa mbaya wakabuni mambo ya Globalization kama mkakati wa usambazaji mitaji ,bidhaa na labour force yao duniani miaka mingi.Sisi unapewa taarifa kuwa Zanzibar itazama mbeleni ndio kwanza mtu mwendawazimu anaongelea Zanzibar kujitenga na Tanzania Bara kisa eti kuna tu-mafuta twa kujipodoa baharini hivi maji yakija hao watu wako wataishi kwenye mafuta?
 
Back
Top Bottom