Zakukumbukwa 2011 - Ktk Picha

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Wakuu naona ni vema tukaumaliza mwaka kwa kumbushana picha zilizotufurahisha, huzunisha, zilizotushangaza, zilizotusisimua nk. in 2011. Ntaweka kadhaaa na wengine mnakaribishwa kufanya the same.

15wdm4o.jpg

siku Gbagbo alipokuwa arrested.

2z7h7wi.jpg

Taifa jipya Sudani - Kusini

2hqw3eb.png

Egypt Revolution

hrbzw0.jpg

Gadaffi Captured and killed

10p7p0h.jpg

Saif Al Islam Captured
 
1zcde8l.jpg

Siku wanajeshi walipoingilia kati rioting ya wamachinga Mbeya

t8r8jq.jpg

Nape- Lowasa uso kwa uso

wi8w1k.jpg

Ufunguzi wa tawi la CCM- Watu wanapenda chama chao

24myhio.jpg

Hata mvua inyeshe tumo tu

s5d00l.jpg

Nani kasema CCM imepoteza umaarufu?????
 
9prvoo.jpg

Haya wale wa Mbagala Mbagala

246nvnl.jpg

Mojawapo ya shule zetu

a5kjk.jpg

Shule nyingine

6i60d1.jpg

Hivi kweli tumetimiza miaka 50 ya uhuru?

5nlnqo.jpg

Akina Usain Bolt wetu wa baadae
 
30dhr2q.jpg

Say whoaaaaaaaaaaa!!!!!!

1z48wvl.jpg

Deo Filikunjombe siku alipokuwa at a wrong place in a wrong tyme
 
2558114.jpg

Yaani hii utafikiri ilitokea jana - Mambo ya Igunga hayo.

167s12q.jpg

Igunga - Rostam alikofanya makubwa

52fghv.jpg

Igunga - Ubwabwa just before kampeni ya kwanza ya CCM


4t3428.jpg

Igunga, utawaambia nini kuhusu Rostam?

34ru07m.jpg

Nyumba za Igunga
 
i6xe8m.jpg

Papaa Jairo.


dgm77.jpg

Jk akifurahia mkungu wa ndizi Kigoma


qpf8ck.jpg

Bongo bana!!!!!

2z4bm87.jpg

Nani anasema JK hajafanya makubwa kuliko wote waliomtangulia?

2pq6yl2.jpg

Mnadani Dodoma
 
UDSM-violence.jpg

Polisi wa Tanzania, ndio hawa aliwasema Mwigamba ! Wanaume tisa dhidi ya kabinti kamoja !
 
2558114.jpg

Yaani hii utafikiri ilitokea jana - Mambo ya Igunga hayo.

167s12q.jpg

Igunga - Rostam alikofanya makubwa

52fghv.jpg

Igunga - Ubwabwa just before kampeni ya kwanza ya CCM


4t3428.jpg

Igunga, utawaambia nini kuhusu Rostam?

34ru07m.jpg

Nyumba za Igunga
Hii ilinipita nita-update kwenye thread ya picha za Jk hakika kafanya kazi nzuri sana kina chizi mmoja anajiita chilisosi sijui yuko UK ana anasema tanzania inapaa kimaendeleo.....
 
Kweli chama cha Ma-model kilifanya vizuri si unbaona watoto hadi leo wanasomea chini ya mbuyu? 2015 chali
 
Back
Top Bottom