Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,401
- 105,296
- Thread starter
- #81
Mimi sikutaka niongeze kitu kwenye maneno ya mtu ndio maana nikaiacha kama ilivyo.Jamani wkt mwingine tutumie akili kidogo. Siyo kila jambo unaletewa hapa na unskubali tu. Hivi toka lini Kmkm na Malindi walishiriki liigi ya tz bara? Ni lini African sport alikuwa bingwa? Ina maana Coastal union na Mtibwa sugar hawajawahi kuwa mabingwa wa ligi yetu?. Upuuzi mwingine msiwe mnaupost hapa maana mnajiaibisha. Kiufupi hii taarifa ni full upotoshaji.
Kwenye Comments nimetoa dokezo kuama sehemu ya masahihisho kwa kukosekana baadhi ya timu ambazo ziliwahi kuchukua ubingwa.
Tatizo la mtu kusahau haiondoi uhalisia wa hoja yote. Na bado kumbuka makala haijafika mwisho pengine hayo unayoyasema wewe kuwa hajayaandika aliweza kuja kuyaandika post zijazo.