Zakaria Hanspope......

Long time 1982/ 83 ndo jaribio lilipangwa kutekelezwa lakin kwa system ya TIS na uzalendo wa WaTz enzi hizo uliripotiwa na Dereva taxi waliyekuwa wanamtumia hivyo kukamatwa na wengne kutorokea Nairobi lakn hata hivyo walirudishwa kwa kubadilishana na waliojaribu kumpindua Moi. Eg Pte. Ochuka et al.

kweli jf ni.kisima
 
The Boss,sijui kama yeye ndie angekuwa kiongozi,walikuwepo kina Hatty Mcghee,kina Uncle Tom ambao ndio walikuwa ma-ring-leaders,hawa kina Zakaria walikuwa army junior officers kwenye hilo jaribio,then Zakaria alikuwa ni Captain kwa cheo.He is very smart lakini,ana biashara zake,moja wapo ni LOGISTICS COMPANY,ana malori mengi tu ya kusafirisha mizigo Congo,Rwanda,Burundi,zambia na Uganda.Hizi Simba na Yanga ni matatizo matupu hata kama una vision hapo utakwama tu.

asante kwa kunikumbusha miaka yangu ya kuwa mwanajeshi, Mcgee na Anko Tom walikua mfano wa wazalendo waliosalitiwaaa
 
Back
Top Bottom