Sasa Simba tu anafanya madudu
kuongoza nchi angeweza?
Huyu Zakaria Hanspope wa Simba ndio yule yule
aliewahi kutaka kumpindua Nyerere ?
au majina yamefanana?
Huyu Zakaria Hanspope wa Simba ndio yule yule
aliewahi kutaka kumpindua Nyerere ?
au majina yamefanana?
Huyu au?!Yule alikuwa Hans Poppe
na huyu?
Sasa Simba tu anafanya madudu
kuongoza nchi angeweza?
The Boss,sijui kama yeye ndie angekuwa kiongozi,walikuwepo kina Hatty Mcghee,kina Father Tom ambao ndio walikuwa ma-ring-leaders,hawa kina Zakaria walikuwa army junior officer kwenye hilo jaribio,then Zakaria alikuwa ni Captain kwa cheo.He is very smart lakini,ana biashara zake za LOGISTICS COMPANY,ana malori mengi tu ya kusafirisha mizigo Congo,Rwanda,Burundi,zambia na Uganda.Hizi Simba na Yanga ni matatizo matupu hata kama una vision hapo utakwama tu.
Huyu au?!
Copy: The Boss . BARRY .
Uganda Times, Thursday, May 24, 1979
Picture caption reads: The remains of the late H. Poppe being taken into the plane at Entebbe Airport.
Poppe's remains flown to Tanzania
The Minister of Foreign Affairs Mr. Otema Allimadi yesterday handed over the remains of Tanzanian Senior Assistant Commissioner of Police, the late Hans Poppe was killed by Idi Amin's soldiers in 1971.
The remains of the late Hans Poppe, who was in charge of West Lake Region were handed to the Tanzanian Foreign Minister Ndugu Mkapa.
The ceremony which took place at the old Entebbe Airport was witnessed by the Deputy Minister of Internal Affairs Dr. Lutakome Kayira, the Inspector General of Police Mr. David Burlow and several officers from Tanzania Peoples Defence Forces.
Mr. Otema Allimadi conveyed the government, UNLF, and the People of Unganda's deepest condolences of the bereaved family, the government and the people of Tanzania.
He paid tribute to the late Hans Poppe who died while defending the co-existence and cooporation between the peoples of the two countries.
Mr. Otema Allimadi later laid a wreath on the coffin of the deceased.
The Tanzania Minister Ndugu Mkapa remarked that the late Hans Poppe for a heroic cause while fighting the government of fascist Idi Amin which was characterised by plunder, murder and aggression.
Referring to Idi Amin's invasion of Tanzania in October of 1978, Ndugu Mkapa said the people of Tanzania and Uganda have won a war which Idi Amin waged to divide the people of two sister countries.
The Tanzanian Minister also called for further strengthening of cooperation between the two sister countries.
He paid tribute to the staff and doctors of Mulago Hospital for their efforts in recovering the remains of the late Hans Poppe.
A Uganda Senior Assitant Commisioner of Police Mr. Okoth Ogola led a six man Uganda deligation to Tanzania to attend the burial of the late Poppe in Iringa.
Huyu ndiye alikuwa Marehemu Baba yake Zak. Kikosi chake (kama siyo nimesahaulishwa na Valour ninayoishughulikia muda huu)
Alichokuwa akionmgoza ndio waliteka Entebbe airport na Ikulu ya Entebbe ktk vita ya kumtoa Idd Amini.
Hatty McGee kukamatwa kwake Kenya ni alirudi kutoka uengereza baada kusikia Mkewe amezaa yeye alitoroka na Uncle Tom, McGee alikuwa Captain wa ndege alivyo toa jela hakubahatika tena kumuona mwanae alivyotoka aliishi week au siku 3 sikumbuki ila kwa jamaa na baaazi ya watu stori za hao watu ni ndefu mungu awarehemu.The Boss,sijui kama yeye ndie angekuwa kiongozi,walikuwepo kina Hatty Mcghee,kina Uncle Tom ambao ndio walikuwa ma-ring-leaders,hawa kina Zakaria walikuwa army junior officers kwenye hilo jaribio,then Zakaria alikuwa ni Captain kwa cheo.He is very smart lakini,ana biashara zake,moja wapo ni LOGISTICS COMPANY,ana malori mengi tu ya kusafirisha mizigo Congo,Rwanda,Burundi,zambia na Uganda.Hizi Simba na Yanga ni matatizo matupu hata kama una vision hapo utakwama tu.
hii hans poppe story ya mapinduzi mbona ipo kule jukwaa la historia na siasa!