niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 19
me naona voda ndio wako fair, 1000 kwa week, 30,000 kwa mwezi, iko poa sana nilitumiaga zantel ya kwa mwezi ikaniishia kabla muda haujaisha , ila voda nikinunuaga ya mwezi basi ni mwezi kweli wala haiishi mpk mwezi upite, sasa hivi naendelea kutumia modem ya voda , ya zantel pia ninayo ila ipo tuu siitumii tena , labda kama kuna mtu anataka nimuuzie