Zain, Tigo, TTCL Mobile, Zantel na Sasatel

Wazee, hii issue ya reliability is quite remarkable. I suggests we take fisibilitity study about it. We gonna sell/donate to it to the phone companies. its like nobody can answer with any kind of a backup. Customer anapouliza swali ni bora kumwambia sijui. Najua temptation ya kuuza kitu wakati mungine italeta mushkeli kwenye biashara. hii feasebility study itategemea sana na watu walioko bongo na walioko nje wajichanganya angalau on line. Thanks
 
Wrong. They are reliable. Nimewatumia tangu 2006 na sija regret. Shida zao ni za kawaida tu tena naona mitandao mingine ina shida kuliko hawa.
Shida yao ipo kwenye ttcl mobile. Mamaaaaaaaaa gharama zinatisha. Lakini broadband uko utafurahia. Fast and cheap.

My experience ni kuwa ingawaje TTCL gharama zao ni ndogo eg unlimited broadband kwa mwezi ni shs 40,000, ila speed yao ni ndogo mno hata huwezi kutumia youtube. A reasonable speed utaipata kwa kununua bundles ambayo 2GB kwa mwezi ni shs 30,000.
 
Wrong. They are reliable. Nimewatumia tangu 2006 na sija regret. Shida zao ni za kawaida tu tena naona mitandao mingine ina shida kuliko hawa.
Shida yao ipo kwenye ttcl mobile. Mamaaaaaaaaa gharama zinatisha. Lakini broadband uko utafurahia. Fast and cheap.
Hizo shida unaziziona ni za kawaida ndo zinawaondoa kuwa reliable kaka.
Njoo zain ufaid huduma ya mtandao karibu na bure
 
wrong. they are reliable. Nimewatumia tangu 2006 na sija regret. shida zao ni za kawaida tu tena naona mitandao mingine ina shida kuliko hawa.
Shida yao ipo kwenye ttcl mobile. Mamaaaaaaaaa gharama zinatisha. Lakini broadband uko utafurahia. Fast and cheap.

ttcl are just useless. Hakuna shida za kawaida i am paying my money halafu unaniambia shida za kawaida
 
Hizo shida unaziziona ni za kawaida ndo zinawaondoa kuwa reliable kaka.
Njoo zain ufaid huduma ya mtandao karibu na bure

Acha usanii Msanii. TTCL ni wazuri hasa ukichukua broadband 2gb (Tsh 30 thousand) au hata 4gb (Tsh 60 thousand) kwa mwezi. Gharama zao ni nafuu sana; na speed yao utaifurahia.
 
Acha usanii Msanii. TTCL ni wazuri hasa ukichukua broadband 2gb (Tsh 30 thousand) au hata 4gb (Tsh 60 thousand) kwa mwezi. Gharama zao ni nafuu sana; na speed yao utaifurahia.

Spidi yao ni kiasi gani?
Zantel wana charge Tshs 10,000 pew week for 2Gb at 2.4Mbps.... I m happy with this. Ikiisha kabla ya wiki .. unaongeza.
 
Zantel iko poa sana, ni cheap na iko fast. Unaweza kujiunga na packages zao za wik inakuwa cheap zaidi though kuna complication nyingi kujiunga
 
Cats net pia ni internet providers, ila sijui gharama zao na kasi ya connection yao.
Kawatembelee ofisini kwao life house.
 
Ok, guys let us a project on Network reliability for these companies, if you down for it send private mail. so i can count on you. Remember focus is on Customer Care.
thank you
 
They all have a long way to go lakini my own experience, Zantel is fast and cheap especially their weekly bundles. Tatizo lao its complicated to join the bundles hadi uwe na manual.
 
zantel is cheap and faster,pia zain ila voda is very expensive and slow
 
voda vimeo sana,ila bongo hatuna options za maana likija suala la mawasiliano!!
 
Duuh niponjia panda natumia voda nikiwa mikoani na sasatel Dar,
Voda kimeo, sasatel angalau,
nataka nijaribu ttcl broadband naona wengi wanaipigia chapuo, sijui imekaaje ktk kujiunga
 
Back
Top Bottom