Zaidi ya wanawake 9,000 wafanyiwa ukeketaji Singida

Matukio Jamii

Member
Sep 9, 2015
12
8
Zaidi ya wanawake 9,000 wamegundulika kufanyiwa ukeketaji mkoani Singida kuanzia January 2013 mpaka December 2015. Idadi hio ikiwa ni sawa na asilimia 20.8 ya wanawake wote waliokwenda kwenye vituo vya kutolea tiba kwa ajili ya kujifungua.

Ukeketaji licha ya kuwa ni kinyume cha sheria lakini pia kunapelekea madhara ya kiafya. Inakadiriwa zaidi ya wanawake milioni 100 wamefanyiwa ukeketaji duniani.
 
Mila na desturi za kiafrika zilikuwa na faida na hasara zake...
 
Umasaini asilimia tisini ya wanawake wamekeketwa na ni jambo la kawaida. Hutaona wala kusikia eti watu wanashangaa au ni habari ya kushangaza, iwe kwa viongozi wa dini wala serikali. Zaidi zaidi utasikia Kuna sherehe kila siku huko kwenye maboma msimu wa tohara. Ukiuliza utaambiwa ni vijana wa kiume, sasa nenda utashangaa na wa kike wanafanyiwa sherehe baada ya kuwakeketa.
 
Kukeketa kuna Faida Mbona Mkuu?? Hii Mijitu inayovaa Nusu uchi isingekuwapo hapa Mjini.Yaani Mwanamke anagawa kama Njugu??

Wanangu lazima Niwakekete!! Tuachane na Teknolojia za wazungu bnaaa,Tufuate yetu halafu tupite hiviii....
Unakamata Mbege na Dadii zinazonenepesha na kuzimwaga halafu unaacha kiROBA kisa lebo ya TBS?? Mamka Niongezee Mbege ya Mbesai yotee.
 
Mm. Ni mnyaturu kwa taarifa yako kati ya wasichana wanaongoza kwa kugawa basi nadirik kusema wasichana wetu wanaongoza, nahis female circumcision is directly proportional to the increase in Sexual drive.
 
Kila kitu kina faida na hasara zake, sasa wataje na faida sio kila siku kulalamika watu wana keketwa wakati waliokeketwa wako poa tu na maisha yanaenda. Wangeona hasara wasinge keketa watoto wao.
 
Kukeketa kuna Faida Mbona Mkuu?? Hii Mijitu inayovaa Nusu uchi isingekuwapo hapa Mjini.Yaani Mwanamke anagawa kama Njugu??

Wanangu lazima Niwakekete!! Tuachane na Teknolojia za wazungu bnaaa,Tufuate yetu halafu tupite hiviii....
Unakamata Mbege na Dadii zinazonenepesha na kuzimwaga halafu unaacha kiROBA kisa lebo ya TBS?? Mamka Niongezee Mbege ya Mbesai yotee.

MKEO NAE SI ANAGAWA ALIKUWA? UNAMUHARIBU MWANAO ASHINDWE KUFURAHI KITOMBO KISA UKALE WAKO
 
Dah! Kuna kazi kubwa sana yakufanyika kwenye elimu na maarifa.
Hivi kweli unaenda kumkeketa binti ili asiwe 'malaya' badala ya kumuelimisha na kumuongoza kiimani madhara ya 'umalaya'? Ingekuwa kukeketa wanawake kunaondoa 'umalaya' kusingekuwa na mwanamke aliyekeketwa anashikwa ugoni. Tena wengine ndio wanatoka nje ya ndoa zao kutafuta 'ladha' maana ndani ya ndoa hawapati. Hulka ya mtu haiondoshi kwa kuondosha kiungo cha mwili bali kwa kubadilisha fikra na mtazamo. Hapo hatujatazama athari za kiafya kwa mwanamke na hatari anazoweza kupata mtoto kipindi cha uzazi au anapojifungua mama aliyeyekeketwa.

Hii tabia ya kufugana binadamu kama wanyama na kuchukuliana kama vyombo vya matumizi ndio tatizo kwenye jamii yetu. Mwanaume unafanywa wallet na mwanamke chombo cha starehe na utumishi ndani ya nyumba.
 
Kukeketa kuna Faida Mbona Mkuu?? Hii Mijitu inayovaa Nusu uchi isingekuwapo hapa Mjini.Yaani Mwanamke anagawa kama Njugu??

Wanangu lazima Niwakekete!! Tuachane na Teknolojia za wazungu bnaaa,Tufuate yetu halafu tupite hiviii....
Unakamata Mbege na Dadii zinazonenepesha na kuzimwaga halafu unaacha kiROBA kisa lebo ya TBS?? Mamka Niongezee Mbege ya Mbesai yotee.
usichokijua ni kwamba, waliokeketwa ndio malaya kuliko wasiokeketwa kwasababu waliokeketwa hawafikishwi kileleni kirahisi hivyo hubaki na hamu zao muda wote. wale wasiokeketwa wakikamuliwa huwa wanakuwa wamepunguza genye.
 
Back
Top Bottom