Za'bar wamethubutu kuwajibisha wazembe wa Mv spice?

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Ktk habari ITV ya saa 2 wameripoti kuwa kamati iliyoundwa kuchunguza ajali ya mv spice imeshahuri wenye meli na viongozi wa serikali waliohusika wakamatwe, imeripotiwa kuna baadhi wamekwisha kukamatwa je? hii ni danganya toto kama tulivyozoea huku bara ama wanadhamiria kuwawajibisha? Pia kamati hiyo imeshauri kwa wenye meli hiyo kulipa fidia kwa waliopoteza ndugu zao milioni 10 kwa kila familia , milioni 7.5 kwa waliopata kilema na madhara mbalimbali na milion 5 kwa walionusurika
nawasilisha
 
wakimwajibisha waziri wa miundombinu wa SMZ, ambaye nilisikia ni wa KAFU, nitaamini kama WAMETHUBUTU, WAMEWEZA na WANASONGA MBELE.
 
Hivi wewe umeambiwa matatizot yako hayatopata ufumbuzi bila ya kuitaja CUF/KAFU! Funguka kijana kabla wenzako hawajakuona bwegee!
 
Back
Top Bottom