Yusuf Bakhresa pokea simu ya Mudathir kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
20240224_212958.jpg

Mudathir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara.

Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu. Baada ya muda akiwa kwao Zanzibar anaona taarifa imetolewa kuwa ameachwa.

Muda akaamua kukigeukia kilimo mpaka alipotafutwa na genius Injinia Hersi aende akakipige Yanga.

Kwa hiyo ushangiliaji wa Mudathir ni kwamba ameamua kuwapigia simu yeye mwenyewe mpaka wapokee. Wasipopokea tumekwisha.
 
Simu ya Mudathir imezua balaa.

Ila mimi nawashangaa wanaosema anaipigia familia yake, hivi kwa akili zenu kabisa mlidhani atasema ukweli anampigia huyo Yusuph au Try Again?

Hiyo simu ni fumbo, na kwa kusoma body language yake wakati anaipiga sio simu ya familia ile. Huwa anaipiga kishari sana.
 
Anatufundisha tujitahidi kupokea simu
 
View attachment 2915549

Mudahir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara.
Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu.
Baada ya muda akiwa kwao Zanzibar anaona taarifa imetolewa kuwa ameachwa.

Muda akaamua kukigeukia kilimo mpaka alipotafutwa na genius Injinia Ersi aende akakipige Yanga.

Kwa hiyo ushangiliaji wa Mudahir ni kwamba ameamua kuwapigia simu yeye mwenyewe mpaka wapokee. Wasipopokea tumekwisha.
Yusufu hakuhusika ni wale maofisa wake ndio waliompigia simu
 
View attachment 2915549

Mudahir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara.
Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu.
Baada ya muda akiwa kwao Zanzibar anaona taarifa imetolewa kuwa ameachwa.

Muda akaamua kukigeukia kilimo mpaka alipotafutwa na genius Injinia Ersi aende akakipige Yanga.

Kwa hiyo ushangiliaji wa Mudahir ni kwamba ameamua kuwapigia simu yeye mwenyewe mpaka wapokee. Wasipopokea tumekwisha.
Umeongea ukweli....
Siku zote success is the best revenge...

Bhakresa pokea simu kabla MUDA haujaisha...
 
Back
Top Bottom