Yussuf Makamba amwinda Reginald Mengi, yeye awataja mafisadi Papa rasmi!

Thread nzima inataja CCM tu, Lissu amesema na sisi na bado hatusikii, sasa Mungu amemtuma Mengi, tujaribu kumwelewa jamani.

Watanzania, Hakuna kiongozi wa CCM atakayetutoa hapa tulipo, tuikatae CCM kwa nguvu zetu zote.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Ama kweli bongo motoni.
Nusu Kuzimu,Nusu Jehanamu.

Tutahema vipi na Panga shingoni.
Fisadi Papa apaza sauti akisema:" Nachota mijihela nakwenda zangu kufanya shopping ya dolali dubai,Kisha nachukua Qatar airways mpaka Hawaii kupunga upepo.

Hapo Bangkok inanusubiri ndani ya jaccuzi Nikifanya ufuska na vimwana wa haja,Nini maisha bwana,Hii ndio rahaa tele, leta kiwingi nikusweke jele Money is power uozee jela harufu yako isikike mpaka mitaa ya kuala lumpa.

Kisha uzeee unikute Mecca na Madina au kando ya mto yordani ndani ya Mji wa galilaya nikitube Ushenzi Wangu,Nani asiione pepo..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ameshaanza ndio anataja .kataja wachache kidogo

yumo

YUSSUF MANJI

ROSTAM AZIZ

SUBHASH PATEL

RMESH PATEL NA WENGINE WENGI......AKATAJA KUAN MAFISADI PAPA WANA DFEDHA NYINGI SANASANA NA WENGINE WAMEANZA KUTUMIA MAGAZETI HAO NI

RICHMOND

DOWANS

KIWIRA

NSSF

PPF

EPA
daaah sikuu hazugandi
 
Back
Top Bottom