Yupo wapi mchezaji wa Singida FG Thomas Ulimwengu?

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,231
1,363
Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars.

Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba ulivunjwa, hakukamilisha usajili au kuna kipi kinaendelea
 
Amerogwa, kafichwa huko mapangoni
 
Huyu Ulimwengu ni kama Msuva, Samatta hivyo lazima anasaka timu nje ya Tanzania kwa udi na uvumba.

Muda si mrefu tutasikia amesajiliwa ktk timu nje ya Tanzania. CV yake ni kama ya baharia lazima atoke nje ya Tanzania

SeasonClubLeagueContinentNat. cupsInternationalTotal
tierGames playedgoalsass.eff.Games playedgoalsass.eff.Games playedgoalsass.eff.Games playedgoalsass.eff.
2023/2024Singida1
2021/2022Mazembe122
2020/2021Mazembe1521831282208
2019/2020Mazembe1114412165
2018/2019JS Saoura18136854171680
2018Al Hilal1123
2017Eskilstuna City55
2017Free11
2015/2016Mazembe1112158371617202645
2014/2015Mazembe1642173102287
2013/2014Mazembe1112909413411422364
2013Mazembe19233392333
2012Mazembe1426
2011Mazembe122
2011AFC Academy
2010AFC Academy22
2009/2010Moro United
2008/2009Moro United
 
Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars.

Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba ulivunjwa, hakukamilisha usajili au kuna kipi kinaendelea
Umri, ana 40 yrs kwa leo.
 
Dah, ama Kweli Wakati Ukuta...

Heshimu Sana Wakti, Uheshimu muda..

Kila nikimkumbuka Thomas Ulimwengu na Samata Wale Wa TP Mazembe...

Walikuwa Moto Sana... Hlf Wakati umepita Unawaangalia Wa Sasa tofauti ni Kubwa.

Kuna Watu Walidiriki hata Kumfananisha Mayele na Samata.Wakati Ukuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom