Yupi bora zaidi mhitimu wa university au institute (for the same degree)

Unajua chochote kuhusu TCU na NACTE na mifumo yao wanayotumia kuandaa wataalamu, unafahamu chochote kuhusu KBET na CBET, ulishawahi kusikia kuhusu kuandaa wasimamizi na watendakazi (fundi mchundo), nitarudi tena
 
Back
Top Bottom