Yule ni "damu yangu" kabisa . . .

DNA ninavyoona ni advanced kwa kuwa before mababu zetu walikuwa wanatumia sana hata alama za viganjani pamoja na damu i mean blood group lakini siku hizi naona baada ya science and technology kuwa juu DAN naon ni bora zaidi na inauhakika zaidi
 
Back
Top Bottom