Yuko wapi siku hizi

jaykiwele

JF-Expert Member
May 22, 2013
552
413
Najua wengi tumepitia sana huu mchezo hasa tuliosoma boarding japo ilikuwa kosa kumiliki Simu shulen lakin wengi tumemiliki lengo kuu ilikuwa kuwasiliana na wazaz ila hasa ilikuwa kuchat na watotoz kwa sie tuliosoma single aka boys!
Je unamkumbuka yule mtu aliyekupa juhud za kuchaj Simu kwa magendo yuko wapi siku hizi?
Wangu kaolewa na ana watoto siku hizi
 
Back
Top Bottom