pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 691
- 878
Ningependa mnijuze kuhusu ile kesi ya yule kijana aliyekamatwa na kichwa cha mtu,maeneo ya hospitali ya rufaa Muhimbili kwamba inaendeleaje?
Hivi ile issue ilikuwa na ukweli au ndio serikali ilitaka tusahau ule ufisadi wao wa BOT na Richmond kwa kipindi kile ndo kesi imepamba moto?Yaani yule dogo anatisha aisee, mimi nilimwona live akiwa na kile kichwa cha mtoto enzi zile nikisoma masters Muhimbili. Nilibahatika kupiga picha mbili tatu kwa kutumia kijisimu kidogo kilichokuwepo kibindoni.
SINA HABARI ZA DIAMOND NA WEMA. Najua ndizo unazozihitaji.Hiyo singo zilipendwa...
Dogo keshaachiwa ila mama ake kafungwa miaka 60,na dogo saivi ni konda kwenye magari ya TA yanayofanya ruti za gongo la mboto sinza
Naomba uniunganishe naye moja kwa moja nayeye bila kupitia ofisi zake,coz inaonekana uko naye karibu sana.Muulize mama rwakatare atakuwa na majibu mazuri sana kuhusiana na huyo dogo.
Wazazi wakawa care na watoto wao. Kila mara flani yuko wapi? Usiende huko utakatwa kichwa ohoo!du alitisha kiukweli.
Yaani yule dogo anatisha aisee, mimi nilimwona live akiwa na kile kichwa cha mtoto enzi zile nikisoma masters Muhimbili. Nilibahatika kupiga picha mbili tatu kwa kutumia kijisimu kidogo kilichokuwepo kibindoni.
Mbona waliachiwa huru yeye na mamaye May 2013
Mkuu Single D, tafadhali ongezea nyama kidogo kwenye sentensi yako basi.
Waliachiwa kwa nini? Ukosefu wa ushahidi? msamaha?
asante
Una wivu wa kike wewe.Sawa msomi mwenye elimu kubwa ya masters