Yuko wapi mwanasoka Hussein Marsha??

Nilimwacha mji mmoja unaitwa slough UK,ni kweli kaolewa na jimama flan hv ambae zamani alikua mke wa John Fashanu.Na hilo jimama jina lake linaanzia na S.

S ndio nini si umtaje tu?

Sio siri Hussein kweli kapotea,hata mshkaji wake masatu nae sijui yuko wapi hapa duniani au wako wote huko?maana wale walikua kama mapacha kwa kweli.
 
Masha yupo uk,na mkewe Shamimu aliyemuoa hapa bongo,MASATU yupo Indonesia na Mashallah wanafundisha vijana wadogo
 
Back
Top Bottom